Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Yeye mpokeaji na bado anafanya kazi kupata cha kwake lakini bado hatoboiMwanaume malezi yake analelewa Kama mtoaji na Mtu mwenye Kuongoza..
Ila mwanamke analelewa kama mpokeaji na Mtu mwenye Kuongozwa..
Hapo ndo kuna shida ya Kimfumo..
Ukimpa Mwanamke uongozi bila Backup jiandae kuanguka
Hii inaleta mantiki kwa kiasi fulani.Wanaume wanakuwa na risk sn kazin mfano mzuri n humu serikalin ambapo mm nipo wanaume wanaiba sn na n mafisadi hatari ila wanawake n waoga mno kwenye mishe izo so mwanaume anaweza fanya risk yyte ya kupata hela ambapo mwanamke hawez ingawa wako sekta moja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sawa baharia.Ila pesa yenu huwa ni tamu tuache utani.....
hata kama nnayo yangu yani we ukinipa najisikia raha sana braza
Msiache kutupa jamani....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sawa baharia.
Bila ubishi.Wanaume tuheshimewe hakuna namna
Labda pengine usiwe unaishi kwenye dunia hii .Utafiti umefanyia wapi mkuu na umechukua sample ngapi
Mwanamke anaweza akapata hiyo connection lakini bado asitoboe.Hii ni social construction history ya centuries, mwanaume ndio ana advantage zaid kwenye system za uchumi wa hii Dunia, mwanamke hata akiwa na hela hatapata connection za kuzalisha kile alichonacho kirahis Kama mwanaume, uchumi wa Dunia umeshikiliwa na mwanaume na Kama ilivo nature ya binadamu wanapeana connection wao kwa wao. Ko mwanamke Ili atoboe lazima awe na backup either kutoka kwenye familia, wazazi au mume/ mpenzi mwenye nguvu kiuchumi. Huu ndio uhalisia
Kwa asili kutafuta kwa jasho. Mwanamke hakuumbiwa hivyo. Ndio maana hawawezi wao adhabu yao ni kuzaa kwa uchungu tu. Hayo mengine wanajiongeza kutokana na mahitaji ya nyakati. Lkn hawaweziKuna siri kubwa imejificha kuhusu pesa.
Haiwezekani wanaume tuweze kuhudumia wapenzi wetu mpaka michepuko, tuhudumie watoto, tuhudumie wazazi, tuhudumie wakwe na mashemeji na bado tukawa sawa lakini kwa wanawake washindwe?
Kama kufanya kazi hata wanawake nao wanafanya tena mnaweza hata mkawa ofisi moja na yeye akawa anapokea pesa ndefu ,akawa pia mbana matumizi mzuri tu na hapo bado hajahongwa lakini mwisho wa siku hatoboi tofauti na sisi wanaume.
Hii ni siri kubwa iliyopo kwenye pesa maana dunia nzima wakitajwa wenye pesa ni sisi wanaume na sio wanawake.
Imekaaje hii?