Kwanini wanaume wanaweza kuhudumia wanawake hata watano, wazazi na watoto na bado wakawa sawa lakini wanawake wanashindwa?

Wanawake gani hao ambao hawaibi, uje nikuonyeshe labda unakutana na wamama wa miaka hiyo ila sio hawa mabinti wa siku hizi wizi ni taaluma yao ya kwanza. Na wanajua kuongeza sifuri plus kulalamika mahitaji yasiyo na ulazima kuliko mtu yoyote yule.
 
Wanaiba bila kutumia nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…