Kwanini wanaume watu wazima hupenda vibinti vidogo?

Binti hajawahi kuambiwa nakupenda na baba yake unategemea nini?
 
Kuna tofauti ya "kuendelesha" li-Scania na kibabaji,,,, Umri unavyoenda sometime unatamani hata uzurure barabara za vichochoroni ambako li-Scania hata kona haliwezi...sasa ndo kibajaji kinahitajika hapo yaani hata kakisumbua unakapigisha kona unakageuza mwenda mdundo...
 
Migofa Haina soko mkuu.
Unakuta imechezea pipe almost 20-37 for one keyi. Sasa hapo unadhani hiyo keyi Ina ladha Sasa au ni ramani tu Wala sio k tena
Love inajengwa na ubongo/mawazo then moyo unapenda,utakachoamini toka kwenye ubongo then moyo utakipenda hicho,km ubongo unawaza mwenza mliezeeka pamoja then moyo utampenda mpk cku ya mwisho,so amini chochote then moyo utakipenda,awe mkubwa mdogo wamakamu moyo utapenda baada ya kupewataarifa na ubongo.
 
Wakati nipo shule ya msingi tunafundishwa harakati za wakina getrude mongela na mkutano wao wa beijing tulijazwa propaganda nyingi sana.

Katika umri ule mdogo wakati nafundishwa masuala ya equality binafsi nikaona mwanamke alikua anafanyiwa ukatili kwa kunyimwa usawa.

Baada ya kuja kukua na kuelewa zaidi muingiliano wa mwanaume na mwanamke kwenye jamii nikaja kuelewa kwa kiasi kikubwa mababu zetu walikua sahihi kuwapiga wanawake speed governor.

Matatizo mengi kwenye masuala ya ustawi wa jamii yamesababishwa na kitendo cha mwanamke kupewa uhuru usiokua na mipaka. Mwanamke sio kiongozi hapaswi kuongoza watu wala kujiongoza yeye mwenyewe.
 
wee ulijuaje mkuu tuanzie hapo kwanza.
 
Hiyo haijaanza leo, tangu enzi na enzi wanaume watu wazima walioa vibinti vidogo, ilikuwa kawaida mwanaume wa miaka 45 na kuendelea anaoa binti wa miaka 17,18, 19 na hata 20 so sio kitu kipya uliza ndoa za kimila kama wanaume walioa wazee wenzao
Umeelewe kilichoandikwa?. Mwanamke kama kafika umri wa miaka 18 na sio mwanafunzi hakuna ubaya wowote wa kuolewa. Anachoongelea mtoa mada ni trend ya mabinti wadogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima kwa sababu za kupata material and monetary benefits na kwa watu wazima nao kutumia huo mwanya wa tamaa za mabinti
 
Ifike mahali wanawake waache kujitoa hizo bikra maana sasa wanaume kila wakijaribu wanakuta kweupe na inawapelekea kwenda kujaribu bahati kwa wajukuu na mabinti zao wadogo.
 
Una ukweli mkuu,kunazee Moja linasema halitaki watu wazima wenzake eti K zao zimetumika sana kama mgari ya kizamani Leyland alabioni!
 
Afya ya akili.
Inabidi wataalamu wa afya wawe wanapita kila nyumba wananchi wapimwe kiulazima, wafanye kama walivokuwa wanahesabu sensa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu.
 
Ijapokuwa jamii ya watanzania wengi wanaona kitendo hicho ni kukosa maadili kwa maana inaonekana kana kwamba unamuoa binti yako kwa maana ki umri mdogo lakini uhalisia wake haupo hivyo.

Age gap ni muhimu sana. Wanawake walio wengi wakisha zaa mtoto mmoja au wawili tayari anaonekana mkubwa sana na hasa wanawake wa siku hizi. unakuta mwanamke au binti wa miaka 30 leo anaonekana kama mmama wa miaka 40 au zaidi.

Kutokana na hali hiyo ikitokea mwanaume ameoa mke na wamepishana miaka miwili au mitatu na wote wamefika 40 years hapo kutanguzana pamoja inakuwa kama mwanaume ametaanguzana na dada yake mkubwa kwa maana hata kumtambulisha eti huyu ni mke wangu ni aibu kwa watu.

HITIMISHO: Ni vema kuoa mwanamke mwenye umri mdogo kuliko kuoa mwanamke mwenye umri mkubwa (mzee). Inaleta raha pale mwanaume unafikia miaka 60 (age of retirement) halafu mke wako bado yupo kwenye good looking at age of 45 - 50 years, hapo mtaendelea kuenjoy maisha vizuri sana kuliko wote muwe wazeee wa miaka 60!
The age gap is very important for a stable relationship for couples.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…