Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tunda likisha komaa shurti lichumwe likibaki mtini litaoza, litaanguka na kukanyagwaKumekuwa na kasumba ya wanaume wa umri mkubwa kuruka na mabinti wadogo umri wa binti zao kingono. Jamii kwasasa imeikubali hii tabia na kuifanya kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida wakati si sawa.