Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

Katika uzoefu wangu wa sleep over hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha.

Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa tako kama umeshika barafu yaani
Shida Ni Nini wakuu?

Ndo maana sipendi kulala kwa watu kwa kweli shida tupu.
Inaelekea ulimsumbua sana, sasa aliwasha full AC ukufe tu ili kukikucha usimsumbue tena na vizinga[emoji23]
 
Ni ushamba usiozingatia afya zenu,ukiwafuatilia hao baada ya muda fulani watakuwa na marathi yanayo sababishwa na baridi,mi binafsi nina fen ila naiwasha pale joto linapokuwa juu nikipata baridi Tu nazima siwezi lala na fen mpaka asubuhi,hata magari yenye ac kali au maofisi huwa natoka na mafua makali sana
 
Kwasababu pumbu zetu zinakaa nje (haziitaji Joto )
The same kwa miili Yetu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
This is very true
Muda mwingine unamuachia tu chumba unatafuta pa kulala

Haya ni Malalamiko ya wanawake wengi
 
Bora umesema [emoji23][emoji23][emoji23] yani hio tabia inaniuzi mimi ndo mana silali kwa watu, limtu linawasha feni/AC usiku kucha
mtu unapata mafua hulali yani tabu sana!! Jinsi sipendi baridi hata kwenye Gari la mtu nikipanda nikakuta AC akigoma kutoa nashuka.
 
Ukimwaga ndani, mwili una heat up balaa kwa raha, joto jingii
 
Aaagh kwa nguvu gani Sasa walizonazo. Kimoja tu hoi anapulizwa hapo mpaka maini
Mkipakiwa mkongo mnasema, mkipigwa kimoja cha afya mnachonga aki ya Nani ninyi wanawake nyie ndo maana Mie siangaliagi Sura

Unatikiswa mpaka unatikisika tukana matusi yote Mie natikisa tu
 
Katika uzoefu wangu wa sleep over hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha.

Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa kalio kama umeshika barafu yaani.

Shida ni nini wakuu?

Ndo maana sipendi kulala kwa watu kwa kweli shida tupu.

I am one them, ni kutozoea tabu
 
Bora umesema [emoji23][emoji23][emoji23] yani hio tabia inaniuzi mimi ndo mana silali kwa watu, limtu linawasha feni/AC usiku kucha
mtu unapata mafua hulali yani tabu sana!! Jinsi sipendi baridi hata kwenye Gari la mtu nikipanda nikakuta AC akigoma kutoa nashuka.
poleni sana mvumilie tu pesa si mnapata
 
Back
Top Bottom