Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Wanaweka kwenye chips mayai, ni vilainishi tu kama mayyonaise,au tomato sauce.
 
hahahhaaaaahaaaaa.........mtoa mada anabeba sana hayo mafuta! atujuze anapakuwa au anapakuliwa!!......au lipshine ? maana wanaume wa Dar hamuishi vijimambo!
 
waulize ukiwaona watakupa sababu ya kutembea na mafuta ya mgando. huko utapata majibu sahihi
 
wake za watu hatutaki kuwaacha ila tunajua siku za mwizi ni 40 hivyo tunajiandaa kisaikolojia kuwa tukikamatwa na wake za watu tukiwa tunashughulikiwa tusiumie


una kingine?
 
Ungeandika wanaume Wa Dar wanapenda kutembea na mafuta ya mgando mifukoni.....uku nilipo mkoa Wa Mara na hata juzi nilipokuwa kigoma hizi mambo sikuzionaaa
 
Ungeandika wanaume Wa Dar wanapenda kutembea na mafuta ya mgando mifukoni.....uku nilipo mkoa Wa Mara na hata juzi nilipokuwa kigoma hizi mambo sikuzionaaa
Mbona mi juzi tu nimetoka hapo mara msoma mjini nimeiona hii kitu?
 
..duh! Hii kali, labda wanatumia kama wese yaani kilainishi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…