Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Wanaweka kwenye chips mayai, ni vilainishi tu kama mayyonaise,au tomato sauce.
 
hahahhaaaaahaaaaa.........mtoa mada anabeba sana hayo mafuta! atujuze anapakuwa au anapakuliwa!!......au lipshine ? maana wanaume wa Dar hamuishi vijimambo!
 
Imegundulika Ya Kwamba Wanaume Wengi Sana Siku Hizi Wameanzisha Tabia Ya Kutembea Kama Siyo Kubeba MAFUTA Ya Mgando Katika Either Mifuko Yao Ya Suruali Or Katika Mabegi Yao Na Kuna Wengine Wameonekana Kabisa Kuwa Hawataki Masihara Ambapo Wao Huyabeba Yakiwa Yamezungushwa Katika Gazeti Kidogo Tu Yakiwa Yamechotwa Na Kuyahifadhi Katika Mifuko Yao Ya Mbele Ya Mashati.(ujue wanaenzi sodoma na gomora)
waulize ukiwaona watakupa sababu ya kutembea na mafuta ya mgando. huko utapata majibu sahihi
 
wake za watu hatutaki kuwaacha ila tunajua siku za mwizi ni 40 hivyo tunajiandaa kisaikolojia kuwa tukikamatwa na wake za watu tukiwa tunashughulikiwa tusiumie

una kingine?
 
Ungeandika wanaume Wa Dar wanapenda kutembea na mafuta ya mgando mifukoni.....uku nilipo mkoa Wa Mara na hata juzi nilipokuwa kigoma hizi mambo sikuzionaaa
 
Ungeandika wanaume Wa Dar wanapenda kutembea na mafuta ya mgando mifukoni.....uku nilipo mkoa Wa Mara na hata juzi nilipokuwa kigoma hizi mambo sikuzionaaa
Mbona mi juzi tu nimetoka hapo mara msoma mjini nimeiona hii kitu?
 
..duh! Hii kali, labda wanatumia kama wese yaani kilainishi...
 
Back
Top Bottom