Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Wavulana wa DSM sawa, huku kwetu mkoani hakuna tabia hizo.
 
Labda wanaume wa huko sisi huku hatuna kitu kama hicho
 
Nadhani kama utaonana nao basi ni bora ukawauliza wao maana hilo ni swala tata kwa kweli.
 
Nimesoma ila jibu sijapata ila n.a. mimi nimeona wanaume wamebeba mafuta nilijiuliza haya mafuta ya Nini kwa wakiume sikupata jibu
 
Asifue mvua imenyea! Umejuaje, weka ushahidi au we ni mmojawao? Malizia basi nini matumizi yake! Yaani umeweza kuona kwenye begi, mfuko wa shati na suruali we kiboko macho yako ni xray machine!
 
Kwa mtazamo wangu ni hili la kuongezeka kwa joto kali...mwili hupauka hivyo ni vizuri kupaka mafuta ya mgando....sijui mitizamo ya wezanguπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Akina dada siku hizi hawsna hormone za kujilainisha. Lainisha mwenyewe kwa mafuta unayoona yanafaa.
 
Ayo mafuta ni maalum kwa ajili ya kutatulia marinda ukifumaniwa na mke wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…