Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Hao ni mashoga ndio wanamtindo huo tayari kwa kazi
 
hahahahaha
JF inachukua taswira mpya sasa
 
Sasa we SEMENYA swali gani hilo kwa wanaume ulishindwa kuwauliza hao jamaa zako kwa sababu unasema umewaona au ndo kipodozi chako funguka vizuri SEMENYA wa sauzi
 
Kwa nini ubebe mafuta wakati gesti yako ndani
 
Dah..., wezi wa mifukoni utawajua tu [emoji4] [emoji4] [emoji481]
 
Ni kawaida kukuta kikopo kidogo cha mafuta ya rays chumbani kaunta au kwenye korido za gesti zetu uswazi, hivi kweli yanatumika kwa matumizi yaliyokusudiwa au kuna la ziada?
 
kumbe ni mafuta ya Rays nilidhani KY! kwani wewe Kizibo 1 hujui matumizi ya mafuta ya mgando ya kupaka mwili wa binadamu?
 
Umeona mafuta tu! Ama ulikua bize kutumia mafuta vingine hukuviona.
 
Tatizo lako ni kwamba unawaza ujinga na ukubwa wako wote huo. Kwani ulifikiri yanatumiwa kwa shughuli gani mbali na iliyokusudiwa?
Usilete kashfa tafadhali huo ujinga umewaza wewe sio mimi. Sipendi upuuzi usinichokonoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…