Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Kumbadilisha ni suala litachukua muda kidogo,ongea nae kwa hekima mweleze vitu gani akifanya vinakufurahisha mfano,mwambie unapenda kuchat nae anapokuwa mbali na wewe,Mwishoni wa mambo yote ni wakati utakapo kuwa mjamzito,Hapo ndo maliza kila kitu maana huo ndo wakati pekee unaoweza kumlazimisha kuwa romantic na akawa kama unavyotaka!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta tena, hakuna roho ya kuchepuka kuna roho ya uzinz

Sent using Jamii Forums mobile app
Adui mkubwa wa ustawi wa nyumba yenye mwanamke ni mwanamke mwenyewe...mapenzi ubunifu bi dada, kuwa kahaba kwa mumeo, wewe unampa mapenzi kigalatia galatia huku uki aspect utoe ushirikiano wa kikorea? Badilika huyo ni mumeo mpe kipapatio kabla hajaja kujanjaruka kwa wasiomjua Mungu ukamkosa mazima!
 
Ubarikiwe

Mwanamke ukiwa ndani ya nyumba yako unatakiwa uwe Kahaba tena Malaya ulie kubuhu

mumeo karudi wewe wala usiongee nae ila muonyeshe kuwa wewe ni expert wa hizo mambo

mvalie viguo hivyo halafu jitie huna habari unavaa hadi akikuangalia anasahau kuna Biblia

ngoja nikuulize swali : Tangu uanze kuishi na mume wako madam,kuna siku yeyote mumeo

karudi nyumbani kutoka kazini akakukuta umependeza hadi akakuuliza haya maswali 👇👇

Leo vipi kuna mahali unaenda saizi? au kuna mahali umetoka?

kama hajawahi kuku uliza hayo maswali tangu muishi wote akirudi anakusalimia anatulia tu

Fahamu kuna loopholes umeziacha wazi zinazofanya hisia za mwenzako kupotelea hapo.
 
Siku ukikjijua una nyege zako,jikoki Tia jicho wanja hilo hatari hatari

Nukia vibaya mno,vaa kimitego mpk wewe mwenyewe ujimezee mate

Ile mume kaingia tu hiyo siku msalimie na sauti kama una mafua yaliyokosa dawa

humo ndani hiyo siku mfanyie vimbwenga vyote,ukiwa unakata matunda jifanye umejikata

Lia kwa nguvu hadi aje,akija anakuta hamna ila wewe unamwambia umeumia (sauti yake sasa unayomtolea)

Akimaliza kukusaidia wakati unatembea jifanye hata umejikwaa mdondokee kwenye kochi

halafu hakikisha unajidondosha juu ya mboo yake,yani fanya vibweka vyote hamna kumwambia unataka

Mwendo ni huo huo hadi bafuni kudadadeki,huyo mwanaume labda asiwe rijali hv hv hachomoki.
 
Sio kweli,, mbn mm nipo romatic sana hiyo inategemea na nafac ya mtu tu ..alivyo na mtazamo wake

Ni baadhi tu kama 85% ndio hawako romatic na hiyo ni sababu ya kuchanganya udini mwingi na mapenzi na kushindwa kutambua nafasi zao katika mapenzi

Muda mwingi kuwaza mambo ya kaniea ,kuhubiri na kuimba pambio ....na kuzuka kuhubir injili ili watu waokoke

Na wengine ni ushamba tu kutokana na kauli ya kuwa wanajitenga na matendo ya duniani lakini wanashindwa kuelewa kuwa mwili nao unahitaji sana mahitaji yake

Wanakazania ya kiroho sana ya mwilini wanasahau ndio hapo wanapofanya kosa la kuchapiwa wake zao

sent from toyota Allex
 
Kuwa romantic au kutokuwa romantic ni mbwembwe tu za maisha kama umeshazalishwa shughurika kwa upendo na wanao huyo mzee baba anajiandalia makazi binafsi huko mbinguni si unajua huko mbinguni hamna ndoa, basi uwe mpole tu.
 
Nawasalim wapendwa
Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.
Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na company, kupenda music wale ambao wamejitoa maisha yao yote kumtumikia Mungu.

Mume wangu ni mtu wa aina hiyo, kwakweli nashukuru Mungu hatujawah kuzozana habar za kutoaminiana tunaishi kwa aman na furaha tele sababu wote tumekutana tuna hofu ya Mungu.

Tatizo ni moja tu, ambalo linaniumiza mwenzangu hayupo romantic kabisaaa, kwa mfano
1) unaweza ukammiss au ukawa unahamu kuchat na mpz wako kimahaba whatsup ukamtext, nimekumiss mume wangu au nakupenda na malove DAV meng yy akakujibu kwa ufupi tu ahsante mke wangu nakupenda pia..
Ukiendelea labda kumchombeza atakwambia nipo bize tunaongea nikirud, au unaweza ukamtex nimekumiss love akakupigia unasemaje mke wangu nipo bize nimechoka kutaype

2) akirud home ni mskajiwangu tutapiga story tutacheza karata na mambo mengi tu, tukiwa chumban ukitaka cjui kumchezea au kumsumbua sumbua kimahaba anakwambia wife niache nipumzike nimechoka kuna siku aliniambia mke wangu ww ni msumbufu kama unataka c useme nikupe mm nilale nikamwambia ndio nataka basi akanipa unyumba akalala.
Yaan kwa kifupi hana muda na mapenz kwake tendo LA ndoa c lazima yupo bize na famila na mambo ya kanisan na kazi zake.

Kiukweli wanawake sometimes tunapenda kubendelezwa kupetiwa petiwa na kupewa raha,

Sio kwamba kabadilika Ila ndivyo alivyo, na sio kwamba sio mwaminifu ila hayupo hivyo.
Ukitaka unyumba ujirengeshe akupe then mlale mnaweza mkalala pia unamwambia nikumbatie anakwambia mm sipat usingizi mpaka nijifunike shika nilalalie tumbo basi atakjfurahisha dk 5 then anakwambia nataka nilale hiyo anavuta shuka mpaka asbuh.

Nifanyaje niweze mbadilisha mume wangu, awe romantic namm nifurahie mapz, mengi nimejitahid amebadilika lakin kwenye mapz ndo mtihan.

NB:Sihitaji ushuri wa kuambiwa chepuka,

sio wanaume wote kwenye ndoa zao wanachepuka wengine wanajiheahimu na wana hofu ya Mungu,

Na sio kila mwanamke mzur akiwa na chngamoto kwenye ndoa yke solution ni kuchepuka, muda mwingine inabid utafute ufumbuz wa tatizo ili uzidi kujenga nyumba yko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sasa unataka kuvunja ndoa! Omba ushauri namna gani unaweza kunwambia mmeo haya maneno umecharaza hapa.
 
Mwanamke ukiwa ndani ya nyumba yako unatakiwa uwe Kahaba tena Malaya ulie kubuhu

mumeo karudi wewe wala usiongee nae ila muonyeshe kuwa wewe ni expert wa hizo mambo

mvalie viguo hivyo halafu jitie huna habari unavaa hadi akikuangalia anasahau kuna Biblia

ngoja nikuulize swali : Tangu uanze kuishi na mume wako madam,kuna siku yeyote mumeo

karudi nyumbani kutoka kazini akakukuta umependeza hadi akakuuliza haya maswali [emoji116][emoji116]

Leo vipi kuna mahali unaenda saizi? au kuna mahali umetoka?

kama hajawahi kuku uliza hayo maswali tangu muishi wote akirudi anakusalimia anatulia tu

Fahamu kuna loopholes umeziacha wazi zinazofanya hisia za mwenzako kupotelea hapo.
Sawa mm ni sio mzee au mmama hayo yote nimeshayafanya na mume wangu sio mtu mzima ni kijana Ila ndo mtu wa rohon kwake kila kitu sawa tu, upendeze usipendeze yy haimshtui sana sana atakuuliza vp huendi kwenye ibada Leo na mtaongea mambo mengine mpaka umuulize VP bby nimependeza atakwambia yaah umependeza sna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaha umenichekesha sna ntajaribu hii

Back
Top Bottom