Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 997
- Thread starter
- #61
Sawa mtumishi wa Mungu kwahiyo unanishaurije dadaako hapaSio kweli,, mbn mm nipo romatic sana hiyo inategemea na nafac ya mtu tu ..alivyo na mtazamo wake
Ni baadhi tu kama 85% ndio hawako romatic na hiyo ni sababu ya kuchanganya udini mwingi na mapenzi na kushindwa kutambua nafasi zao katika mapenzi
Muda mwingi kuwaza mambo ya kaniea ,kuhubiri na kuimba pambio ....na kuzuka kuhubir injili ili watu waokoke
Na wengine ni ushamba tu kutokana na kauli ya kuwa wanajitenga na matendo ya duniani lakini wanashindwa kuelewa kuwa mwili nao unahitaji sana mahitaji yake
Wanakazania ya kiroho sana ya mwilini wanasahau ndio hapo wanapofanya kosa la kuchapiwa wake zao
sent from toyota Allex
Sent using Jamii Forums mobile app