Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Sawa mtumishi wa Mungu kwahiyo unanishaurije dadaako hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio upendeze uvae ki ibada ibada we madam vipi bwanaaaaa
 
Wao wapo romantic na Yesu kristo.... Na mapenzi yanahitaji urafu ivi ndo muenjoy. Sasa wao kila ukiongea nae lazima aweke ishara ya msalaba na kusubiri mwongozo kutoka kwa kristo... Ndio mapenzi yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mwaya, i feel you, wanawake tunapenda sana kubembelezwa na tunapenda kufanyiwa vitu bila sisi kuomba au kuanza au kuuliza hasa kwenye swala la mapenzi kuna raha yake asikwambie mtu, i dnt think tatizo la mumeo ni ulokole hapana, maswala ya mapenzi huwa ni either mtu anajua kuwa romantic au hujui alafu ni vitu ambavyo huwezi kumfundisha mtu utajitahid kumfundisha na yy atajitahid ku follow lakini kwa kuwa sio nature yake mwisho wa siku anarudi kuwa vile vile. Hata kuna wanawake wako hivyo hawajui kuwa romantic na hata ikitokea mwanaume akajitahidi vp yule mwanamke ataona usumbufu, sasa ndo mume wako. Cha kukushauri, instead ya kulazimisha kumbadilisha yeye, badilika wewe, endelea ku mtext hizo msg za mapenzi usiache atakavyokujibu rizika navyo, mkiwa ndani mfanyie yeye vile unavyopenda akufanyie, hata akisema unamsumbua mwambie mume wangu sio kama nakusumbua ila ndo mapenzi niliyonayo kwako na i wish na wewe uwe unanifanyia hv but kwa vile mwenzangu huwezi acha mimi niwe nafanya ili nafsi yangu iridhike, nivumilie tu, trust me atakapojua ndivyo ulivyo na ndivyo unavyopenda hata kama hata badilika lakini hata kuona kama msumbufu atakuzoea na atakuacha uwe unamfanyia mana anajua ndo kinachokupa raha
 
Hakuna mtu anaeweza fanya vitu hajaviona na wewe unahisi hakupetipeti kwa sababu Pana sehemu umeona wenzako wakipetiwa chakufanyaa;
1. Mpe majukumu ya kutenga extra muda kuwa alone na wewe ( sio chumbani kwenu)
2. Hakikisha anaona vitu unavyotaka akufanyie najua yuko busy lakini tafuta movie za kilokole za drama za kifamilia zipo online jitume kuzitafuta mziangalie mkiwa alone.
3. Mtie moyo zaidi hakikisha unazidisha kero za kimapenzi kwake kiss him with no reasons.
4. Wapende wazazi wake na ndugu zake kumpa furaha zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani na Furaha tele mlio nayo inatosha kufanya ndoa yenu isonge mbele, hilo unaloleta linaweza kukuletea migogoro. Furahia kwa yale mazuri ilo chukua kama mapungufu ili lisije likakunyima amani na furaha moyoni.
 
Bora niwe singo kuliko kua na mwanaume wa aina hiyo.....kila mtu na hulka yake, ww kama mgum tafuta mgum mwenzio tuliozoea kuchezeana vitovu tunapendana wenyewe kwa wenyewe.
 
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli my, ntajitahid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…