Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Usiweke ki ujumla, kuna watumishi wapo vzuri[emoji3][emoji3].

Mli hudhuria mafunzo ya ndoa?? Ikitokea semina za wanandoa nenda naye.. Mtabadilika sana.

Changes[emoji352]
 
Ulimbo,

Mkuu Ulimbo nilisika kuandika ulichoandika kwani niliona kwamba huo ni ukweli ambao usingeweza kumsaidia lolote. Anyway, Mungu turehemu.

Ahsante
 
hamkujuana vizuri wakati wa uchumba wenu, ndio maana wanashauri "marry your best friend", mtu ambae unajua like na dislike zake, unajua reaction zake na unajua ubaya na uzuri wake,
haya ndo madhara ya kuokotana kanisani kisa watumishi afu mnafunga ndoa.

chagueni, mmoja awe kama mwenzie, yaani mmoja wapo abadilike, la sivyo hamtainjoi ndoa yenu Madam vivian original,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hawezi kukupa vyote mtu wa Mungu!Ridhika na amani uliyonayo
 
Gwaji boy naye sio Romantic???????
 
Sawa mtumishi wa Mungu kwahiyo unanishaurije dadaako hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nakupa pole , kwa unayopitia ...yanahitaji muda sana ...ila nakumbuka nilipokuwa nasoma theology pale chuo cha lake victoria bible college kuna masomo kwa wana ndoa tulikuwa tukifundishwa

Cha kwanza nachokushauri endelea sana kuomba ili mungu amfungue atambue nafac yake

Halafu zidisheni muda wa kukaaa wawili faragha chumbani au sebleni ...mkifanya hivyo mara kwa mara itaongeza ukaribu zaidi

Ukaribu ndio unaoleta mapinduzi ya kuwa marafiki , PASIPOKUWA NA URAFIKI KWA WANANDOA UJUE KUWA hakutakuwa na romatic yoyote

Tangulizeni urafiki tembeeni pamoja ,jioni zungumzeni mkiwa mnatizamana hiyo inaongeza nafac ya kila mtu kueleza dukuduku lake

sent from toyota Allex
 
Na wengi wanawake wakilokole wa atoka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unataka kusemaje mtumishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi pia nikushauri kitu wanawake ndivyo walivyo ....wanaamini sana mpka wanapitiliza jaribu kukaa naye mwambie kweli Mungu ananafac kubwa katika ndoa na familia

Lakini wewe nawe mke wangu badilika unanikwaza , unaponikwaza mm ujue hata maombi yako ni bure nahitaji nafac yako

Kuna muda tumia nguvu mbane asitoke nyumbani mwambie unahitaji kukaa na ww akinuna atanunua tu akiwa hapo seblen lakini ndio mwanzo wa kupona

Ukweli kuna wanawake wanakwaza sana ...mpk unatamani kuowa mke mwingine ........
Tengeneza kwanza saikolojia yake apunguze muda wa kanisa ajaribu kuubalance ongea hata na rafiki zake

sent from toyota Allex
 
Kama ni nanga ni nanga tu hata uwe vipi.[emoji44], tena anajifanya yupo busy na kazi zake huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mumeo,anakujibu asante mke wangu nakupenda pia,ww unataka akujibu nini tena?
Mkitendwa mnaanza kulia lia kua wanaume wote ni wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…