Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
503
Reaction score
997
Nawasalim wapendwa

Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.

Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na company, kupenda music wale ambao wamejitoa maisha yao yote kumtumikia Mungu.

Mume wangu ni mtu wa aina hiyo, kwakweli nashukuru Mungu hatujawah kuzozana habar za kutoaminiana tunaishi kwa aman na furaha tele sababu wote tumekutana tuna hofu ya Mungu.

Tatizo ni moja tu, ambalo linaniumiza mwenzangu hayupo romantic kabisaaa, kwa mfano
1) unaweza ukammiss au ukawa unahamu kuchat na mpz wako kimahaba whatsup ukamtext, nimekumiss mume wangu au nakupenda na malove DAV meng yy akakujibu kwa ufupi tu ahsante mke wangu nakupenda pia.

Ukiendelea labda kumchombeza atakwambia nipo bize tunaongea nikirud, au unaweza ukamtex nimekumiss love akakupigia unasemaje mke wangu nipo bize nimechoka kutaype


2) Akirudi home ni mskajiwangu tutapiga story tutacheza karata na mambo mengi tu, tukiwa chumban ukitaka cjui kumchezea au kumsumbua sumbua kimahaba anakwambia wife niache nipumzike nimechoka kuna siku aliniambia mke wangu ww ni msumbufu kama unataka c useme nikupe mm nilale nikamwambia ndio nataka basi akanipa unyumba akalala.

Yaan kwa kifupi hana muda na mapenz kwake tendo la ndoa sio lazima yupo bize na famila na mambo ya kanisan na kazi zake.

Kiukweli wanawake sometimes tunapenda kubendelezwa kupetiwa petiwa na kupewa raha,

Sio kwamba kabadilika Ila ndivyo alivyo, na sio kwamba sio mwaminifu ila hayupo hivyo. Ukitaka unyumba ujirengeshe akupe then mlale mnaweza mkalala pia unamwambia nikumbatie anakwambia mm sipat usingizi mpaka nijifunike shika nilalalie tumbo basi atakjfurahisha dk 5 then anakwambia nataka nilale hiyo anavuta shuka mpaka asbuh.

Nifanyaje niweze mbadilisha mume wangu, awe romantic namm nifurahie mapz, mengi nimejitahid amebadilika lakin kwenye mapz ndo mtihan.

NB: Sihitaji ushuri wa kuambiwa chepuka, sio wanaume wote kwenye ndoa zao wanachepuka wengine wanajiheahimu na wana hofu ya Mungu,

Na sio kila mwanamke mzur akiwa na chngamoto kwenye ndoa yke solution ni kuchepuka, muda mwingine inabid utafute ufumbuz wa tatizo ili uzidi kujenga nyumba yko.
 
Ikiwa kumbadilisha ni ngumu, badilika wewe. Muelewe hivyo hivyo alivyo.

Kuna wenzako wanamtafuta kama huyo. Hata mimi kuchatichati sana kuna muda naona kama kero au mambo ya vijana.
Naweza nisiwe sahihi lakini endapo huko awali ulishakua na watu romantic usitake mme wako awe kama wao.

Kwake mambo ya msingi ndio kipaumbele. Mie nilijua hakupi haki yako, kumbe anatekeleza majukum yake ipasavyo isipokua mtindo wake ndio unakutatiza? Hilo usilichukulie kama tatizo

Hii inatukumba sie tuliolelewa na kukulia katika ile imani na misingi ya hofu ya Mungu. Wala hana tatizo lolote.
 
Shukuru sana kwa jinsi alivyo.

Siyo walokole tu, kila mtu aliye busy na kazi au biashara. Concentration ikiwa kubwa huko, basi kuna vitu havitapewa kipaumbele.

Usije ukachepuka kwenda kutafuta u-romantic mtaani, bali mzoezeshe kidogo kidogo tu. Usitake umbadilishe fasta.

Huyo muda mwingi anamuwaza Mungu na kazi za Ki-Mungu ndizo zilizo ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo ya wanawake hayaishi...Ukilijua hilo utafanya yalio ndani ya uwezo wako tu. Mengine achia wengine watakusaidia.
Umesema vema kabisa, huwa ni watu wa ajabu mno hapo utakuta akishafanya hilo, atakuja kudai awe anamtoa matembezini utamsikia ooh mume wangu hana muda hata wa kutoka na mimi,hana muda na familia ye muda wote busy na kazi zake tu.

Ngumu kumuelewa mwanamke.
 
Back
Top Bottom