[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Wacha nipite tu ila kunademu mzuri zaidi yako kaingia geto nikaenda nae kuoga huko bafuni ndani ya jakuzi Maji yalibadilika utafikiri pamemwagwa mfuko wa cement nikawadharau sana wanaojiona warembo.
HehehEnyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Hapo sasa mipaka inavukwa hilo swali mwanaume hawezi jua ila Muumba mbingu tu ndio anajua sababu ya yeye kumuumba mwanaume mbyaEnyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Kamuulize baba yako eti baba mbona una sura mbaya...Enyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Kama naniliiMe nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
Itakuwa kina naveen walikuwa wanachat na auntie yao shunieNajua sio wewe
AiseeeeItakuwa kina naveen walikuwa wanachat na auntie yao shunie
Me nawapenda hao wanaume wa sura mbaya sura za kiume
Mi nitakupa!Kila siku unasema kuhusu kunipa zawadi kunipa hunipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
Wenye sura nzuri sana wana...mapungufu....au vicheche au machoko
Remmy ongala alikuwa anachukua wanawake wazuri sanaaaa hadi...akaimba mwanamume mashine