kakasu
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 235
- 151
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.