Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Wacha nipite tu ila kunademu mzuri zaidi yako kaingia geto nikaenda nae kuoga huko bafuni ndani ya jakuzi Maji yalibadilika utafikiri pamemwagwa mfuko wa cement nikawadharau sana wanaojiona warembo.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Enyiwanaume kwanini wenye sura mbaya mkowengi
Hapo sasa mipaka inavukwa hilo swali mwanaume hawezi jua ila Muumba mbingu tu ndio anajua sababu ya yeye kumuumba mwanaume mbya
 
Uzuri tu nikwamba wanawake wanatupendea mashine na hela wala hawajishughulishi na sura zetu.
 
madhara ya kuwa na sura nzuri ni wengi wao huwa 'chakula'
 
Sura ya mwanamume ni pochi!! Pochi ikiwa na sura nzuri ya misimbazi lukuki wadada meno yote nje!!
 
Dhiki tu. Tangu mtu unabalehe unakutana na matatizo lukuki, mara kukataliwa na dem, mara kukosa pesa, mara kazi nzito. So sura inakunjamanaaa. Huwezi amaini, ukiona picha yangu wakati niko form one, nilikuwa bonge la HB ila sasa hivi, hata nikishiriki mashindano ya sura mbaya na Remmy, mimi nachukua tuzo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tuliandikiwa tutakula kwa jasho, kwa hiyo tunafanya kazi ngumu ndio maana tunakuwa na sura ngumu tofauti na wanawake ambao wanafanya kazi laini laini, ila mituringa wanaohenya nayo dada zetu na mama zetu inatisha
 
Ktk wanaume hao babako na babu yako wamo?
 
Dah...kwanza inabidi kudeclare sura mbaya ni IPI..[emoji87]
 
Back
Top Bottom