Wengi wa wanaume siku hizi hupenda kunyoa kipara. Nimejiuliza sana lakini sipati jibu.
Mtu mzima na heshima zake hunyoa kipara labda anataka aonekane kijana, labda kichwa chote kimejaa mvi au ameumbwa na upara. Staili ya kunyoa kipara uanzia kwa vijana na hata wenye vyeo Serikalini.
Nawaomba nijue ni sababu zipi hupelekea wanaume wengi kunyoa kipara.