Kwanini Wanaume wengi wanapenda kunyoa kipara?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Wengi wa wanaume siku hizi hupenda kunyoa kipara. Nimejiuliza sana lakini sipati jibu.

Mtu mzima na heshima zake hunyoa kipara labda anataka aonekane kijana, labda kichwa chote kimejaa mvi au ameumbwa na upara. Staili ya kunyoa kipara uanzia kwa vijana na hata wenye vyeo Serikalini.

Nawaomba nijue ni sababu zipi hupelekea wanaume wengi kunyoa kipara.
 
Ujinga tu unapost
 
Naomba kufahamu huo utafiti wa kusema wengi umeufanya lini, na wengi wangapi kati ya wangapi...
 
Kwani wanawake hawanyoi kipara mbona ndo wanaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…