Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

Afya kwa ajili ya mtoto atakae patikana hapa sisi wanaume tulichezewa trick na aliyetuumba,

Lengo kuu ni mwanaume kutaka/kuoa mwanamke mwenye afya nzuri ya uzazi... Lile umbo la mduara na thick thigh unaona kama inakuvutia wewe kumbe sio ila kupitia wewe kuna kiumbe kinataka kuja duniani kupitia kwa mama mwenye uwezo wa kubeba kujifungua na kulea mtoto pasipo changamoto yoyote (afya ya uzazi).
 
Hizi sio topic zangu kabisa ila ngoja nikusaidie kukujibu kitaalamu kwa kutumia marketing skills hope utanielewa.

Kwenye consumer behaviour kuna factors affecting consumer behaviour (kwa case yako consumer ni mwanaume)....hizi usipo zielewa sokoni unaenda kupoteza muda wako tu labda ubahatike sana.

Moja kati ya factor ya mhimu sana inaitwa Psychological factor (hii ndiyo imeaffect sana wanaume kwenye case yako) ....sasa inafanyaje kazi?

Kwenye areas of marketing (marketing principles) tuna 7 p's ambapo ya kwanza ni product (hapa tunamzungumzia mwanamke mwenyewe).

Sasa kwenye product (mwanamke) moja kati ya P ambayo inamvutia consumer (mwanaume)haraka zaidi na kuipata ile attention yake haraka ni PACKAGING (Makalio kwa case yako) kwa sababu Psychologically mwanaume anaona hiyo ndiyo moja ya package ya bidhaa yake hivyo kwa haraka anavutiwa nayo kwa sababu inaonekana kirahisi kisha baadae ndo ataanza kudili na factor zingine ambazo huenda ataona kwamba ni nzuri kuliko hata hiyo ambayo macho yalivutuwa nayo.


Hii sio lazima ifanye kazi kwa kila consumer (mwanaume)

Ndiyo maana ukiwa unaingia sokoni moja kati ya kitu cha mhimu kwenye bidhaa au huduma yako zingatia saaaaaana PACKAGE kwa sababu ndiyo inayavuta macho ya mteja haraka incase bidhaa hiyo ni mpya kwake au hana uzoefu nayo sana kisha ndo ataanza kufuatilia mengine ikiwa tayari emevutiwa nayo hivyo uwezekano wa kuinunua unakuwa mkubwa kutegemeana na wewe mtoa huduma utakavyo jiweka au kufanya mawasiliano naye either persuasion ili uclose sale.

Hope ukisoma kimantiki utanielewa.


NOTE:
Nimetoa mfano tu ili nieleweke kimantiki hivyo usije ukajitengenezea nadharia zako kuanza kusema nimemchukulia mtu kama bidhaa.

No offense.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
KUanzia leo makalio nitayaita..PACKAGING
 
Kwa sababu hii!
1000017090.jpg
 
Back
Top Bottom