Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

Habari wanajukwaa,

Naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa kuliko wale walionyimwa makalio, why!?
Kwa sababu CCM imeendelea kuwaburuza mburura waaiojitambua na kuwatoa lwenye mstari wa kujadili issues za kitaifa na kuzitafsiri kwenye kura
 
Dah!! Na walikuwa wana jamba kweli ukiwaambia wajambe hao wanawake ?!
Yale yanaenda sambamba na mzuzu...unamwambia lala kwa tumbo...halafu unamwagia poda mtaronni kisha unamwambia Jamba kidogo....🙂akisha Jamba ule moshi ukiruka juu waunusa halafu wamkuna na kibrashi cha mzuzu kunako makalioni.😘
Ila nimesha acha uhuni.🙂
 
ugonjwa wa moyo ungekuwa matackoni basi wanaume 9 kati ya 10 wangekuwa wanaumwa HBP
IMG-20240109-WA0016.jpg
 
Mimi kwangu tofauti kabisa

Sivutiwi na mwanamke mwenye matako makubwa

Napenda sana wa sampuli hiiView attachment 2883029
Na bado utakuja kuidharau hii sampuli siku utayopata flat screen yenye miguu ya kwale.

Kabla yake nami niliwekeza kwenye maumbo kama hayo.

Siku moja nikasema ngoja nijaribu ya kihindi, ebhanaeeh😆😆.

Halafu jamani nyie, sijui kwanini vitu vizuri hufichika katika maumbile yasiyovutia na vitu vibovu vinapachikwa kwenye mionekano ya maana!

Jaribu kutafiti.
 
Habari wanajukwaa,

Naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa kuliko wale walionyimwa makalio, why!?

sio wote, wengine hawataki hata kuwaonja wala kupita nao!

Wengi wanapenda portable na akili kubwa kichwani na moyo wa upendo na utii na huruma.
Yaani uchaji Mungu wenye ufahamu thabiti na maarifa na hekima ya maisha na mahusiano.
Kumbuka kwenye hekima kunahisisha subira, msahama, uvumilivu, imani, adabu, heshima n.k.
 
Uongo
 
Back
Top Bottom