Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

Afya kwa ajili ya mtoto atakae patikana hapa sisi wanaume tulichezewa trick na aliyetuumba,

Lengo kuu ni mwanaume kutaka/kuoa mwanamke mwenye afya nzuri ya uzazi... Lile umbo la mduara na thick thigh unaona kama inakuvutia wewe kumbe sio ila kupitia wewe kuna kiumbe kinataka kuja duniani kupitia kwa mama mwenye uwezo wa kubeba kujifungua na kulea mtoto pasipo changamoto yoyote (afya ya uzazi).
 
KUanzia leo makalio nitayaita..PACKAGING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…