Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
W'ume hawapigi mswaki inavyotakiwa
Tofautisheni kunuka mdomo kwa kutopiga mswaki na kunuka mdomo kunakosababishwa na nature ya maumbile. Maumbike ya wanawake si ya kunuka mdomo kama wanaume.
ooh kumbe basi sababu ni MAUMBIKE!
Ukweli huu unaweza fanya watu waandamane
Wanaume wakiongea wanatumia sana maneno yanayoishiia au kuanza na Ha, ho nk kwa mfano hoya, halloo, hahaha nk, wanawake wao wanatumia maneno yanayoanza na eeeee, iiiiii, halafu wanaume wanaume tunaongea kwa kutumia mdomo wakati wanawake wao wanatumia pua kuongea. Teh teh teh.
W'ume hawapigi mswaki inavyotakiwa
Wakuu,
Kwa umri huu wa utu uzima wangu nimeshuhudia kuona wanaume ndio wanaoongoza kwa kunuka midomo. Asilimia kubwa ya wanawake hawanuki midomo. Mimi si mtaalamu wa mambo ya afya lakini ningependa kujua sababu.
Asanteni sana!