Kwanini wanawake asilimia kubwa huwa hawanuki midomo?

Kwanini wanawake asilimia kubwa huwa hawanuki midomo?

Wanaume wakiongea wanatumia sana maneno yanayoishiia au kuanza na Ha, ho nk kwa mfano hoya, halloo, hahaha nk, wanawake wao wanatumia maneno yanayoanza na eeeee, iiiiii, halafu wanaume wanaume tunaongea kwa kutumia mdomo wakati wanawake wao wanatumia pua kuongea. Teh teh teh.

Kwi Kwi Kwi
 
Wakuu,

Kwa umri huu wa utu uzima wangu nimeshuhudia kuona wanaume ndio wanaoongoza kwa kunuka midomo. Asilimia kubwa ya wanawake hawanuki midomo. Mimi si mtaalamu wa mambo ya afya lakini ningependa kujua sababu.

Asanteni sana!

kwasababu ni wambea sana.
 
ss tunanuka midomo wao uchi.ni maumbile tuu mwanaume kunuka uchi ni ndoto ila mwanamke nikawaida na lazima
 
ss tunanuka midomo wao uchi.ni maumbile tuu mwanaume kunuka uchi ni ndoto ila mwanamke nikawaida na lazima

Lol akati hata nyie maumbile yenu yakipigwa na joto yanafuka harufu vilevile!!! ukizingatia hamtawaz baada ya kukojoa.....so ni vitone vya mkojo plus jasho.... Haifai!!!!
 
Dah! Hujakutana na wanawake wanaonuka midomo wewe, wanaume wengi n careless so inawezekana kunuka midomo si jambo la ajabu ila ukikutana na mwanamke anayenuka mdomo unaweza kimbia
 
Lol akati hata nyie maumbile yenu yakipigwa na joto yanafuka harufu vilevile!!! ukizingatia hamtawaz baada ya kukojoa.....so ni vitone vya mkojo plus jasho.... Haifai!!!!

mwanaume ananukaje uchi sasa?? nyie ndo mnanuka nikwa sababu ya kutoa maji maji ukeni mara kw mara
 
Tafiti ndio hiyo. Umri wangu unatosha kuwa ndio kipimo cha population sample yaani watu niliokutana nao wanatosha sana kupata sample ya kufanya huo utafiti.
Sasa kama MArafiki na watu wakaribu unaokutana nao wote ni wanywa ulanzi unategemea nini?
 
Back
Top Bottom