Kwanini wanawake asilimia kubwa huwa hawanuki midomo?

Kuna sehemu wananuka kma hawanuki mdomo... Kiddin
 
Wanaume wakiongea wanatumia sana maneno yanayoishiia au kuanza na Ha, ho nk kwa mfano hoya, halloo, hahaha nk, wanawake wao wanatumia maneno yanayoanza na eeeee, iiiiii, halafu wanaume wanaume tunaongea kwa kutumia mdomo wakati wanawake wao wanatumia pua kuongea. Teh teh teh.
 
Tofautisheni kunuka mdomo kwa kutopiga mswaki na kunuka mdomo kunakosababishwa na nature ya maumbile. Maumbike ya wanawake si ya kunuka mdomo kama wanaume.

ooh kumbe basi sababu ni MAUMBIKE!
 

Wewe ni tatizo nimecheka mno hii comment yako
 
mwanaume kutoa harufu kidogo ni sunnah
 
ni kuongeongea tu... wanaume wengi si waongeaji sana so mda mrefu umefungwa...
pia ulaji wa bubble gum unafanya mdomo usinuke..
 
Tatizo hilo si kila mwanaume mfano mm niko sawa sn
 
Wakuu,

Kwa umri huu wa utu uzima wangu nimeshuhudia kuona wanaume ndio wanaoongoza kwa kunuka midomo. Asilimia kubwa ya wanawake hawanuki midomo. Mimi si mtaalamu wa mambo ya afya lakini ningependa kujua sababu.

Asanteni sana!

This thing is serious msifanye utani jamani. Mimi mwenyew kwa umri nilionao nimeshuhudia idadi kubwa ya wanaume kuliko wanawake. Tena wengine ni vijana wadogo kabisa in their 30s. Nimegundua ki2 kimoja. Kuna harufu inayotoka kinywani kama ile tunayokua nayo tunapoamka asubuhi au hata mchana tusipozungumza kwa muda mrefu. Hiyo tunaweza kuicontrol kwa kuswafi kinywa na KUNYWA MAJI MENGI kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Sasa kuna hii ingine ambayo wanaume wengi wako nayo. Kuna harufu fulani like inatokea KOONI! Sio harufu ya kinywa. Na mostly iko kwa aged men kuanzia miaka 50 na kuendelea. Lakini cha kushangaza kuna mkaka in his 30s ana hiyo harufu. Nadhani tupate doc atusaidie coz hata mi ningependa kujua kwa nn inatokea
 
Asee wapo wanawake wanaonuka midomo.
 
Unaona wanaume wengi wananuka midomo kwa sababu ni waongeaji. Wanawake wengi wanaficha midomo yao ndiyo maana lakini wananuka pia midomo.Uwe mwanamke au mwanume, ukiaa muda mrefu bila kushughulisha mdomo lazima unuke.
 
Wanaume wengi midomo inanuka papuchi sijui kwanini
 
Pia wanawake wasionuka midomo papuchi zao hazinuki. sijui uhusiano upoje aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…