Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mkuu mbona unalia lia sana?Na wewe usimpangie mwenzako,umenunulia simu na bando kwani?pambana na hali yako
Kama unapiga nyeto ni wewe huko,acha alalamike
Una tatizo siyo bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unalia lia sana?Na wewe usimpangie mwenzako,umenunulia simu na bando kwani?pambana na hali yako
Kama unapiga nyeto ni wewe huko,acha alalamike
Mwenzako analalamika wewe unalia lia malalamiko yakeMkuu mbona unalia lia sana?
Una tatizo siyo bure
We jamaa bhana sijui hujasoma? jamaa kaandika fact tupu..Kwan we familia uliyo toka wazaz wako walichezea chakula ?? Dah...mnaendekeza tabia za Kishamba Sana akat wabongo wengi maisha yetu karibia Yana fananaKwahiyo kuku wakipewa chakula unateseka? Ulitaka wakule nini, acha wivu na kulialia kizembe tafuta pesa.
Hii tabia tunaipenda tunategea wakati mnarudi lazima tuombe mje na kitu tuu hahaaa. Any way pole mkuu endelea kusisitiza ataachaHela za matumizi ya chakula humkabidhi zote isipokuwa kuna wakati ananiomba nimletee baadhi ya vitu
Mna huruma kwa watoto wenu tu, hamna huruma ya moja kwa moja na yeyote!Umshazaliwa, ukanyonya ukatunzwa km maskini sasa leo umekua na ndevu unaona wanawake hawana Huruma??hana huruma kwakuwa tu haendani na mawazo yako siyo?
nikisema ulikuwa unastahili kunyofolewa hiyo mimba nitakosea? yaani ulikuja bahati mbaya tu humu Duniani!
Uko sahihi.No shade, but mkeo aliwahi kuwa housegirl? Maana hao ndo wana mentality ya vitaletwa tu...
Au anagawa mtaani, au anauza pia... 10ltr ya mafuta per month mhh
Maharage yanachemshwa kwenye mkaa au electric pressure cooker.Maharage watu wanachemsha kwenye gesi wakati mkaa upo. Mtu anaona uvivu kuanza kuwasha mkaa
sasa jamani mtu akimpenda watoto inatosha! ....halafu nyie je mnachukia watoto?Mna huruma kwa watoto wenu tu, hamna huruma ya moja kwa moja na yeyote!
Halafu ukiongea unaonekana una nongwa!..mimi nkiongea mtu akajinunisha huwa namwambia "siku ukipata majukumu utanielewa"Ukweli ni kwamba mtu yoyote ambae hatafuti hela kwa jasho, hua hajui kupanga matumizi.
Wasichana wa kazi na hawa wadogo zetu tunaoishi nao jamani sijui hua wanadhani sisi ni matajiri sana? Mtu atabandika MAJI YA KUOGA (na joto lote) kwenye jiko la GESI! Halafu anayasahau hapo yeye yuko chumbani na simu. Maji yatachemka wee mpaka yanakaukia we unapita unakuta maji yamebaki nusu, yeye hana habari, akikurupuka anajazia sufuria anaendelea kuchemsha! Au mwingine anachemsha maji, yakichemka anazima jiko anaenda kufanya shughuli nyingine. Akija anawasha tena jiko anayachemsha upya ndio akaoge!
TV ni masaa 24 ipo on, kuwe kuna mtu anaangalia au laa. Taa zote ni on hakuna anaezima.
Yaani kuna vitu vinakera sana mtu unaongea mpaka unachoka
Apo unakuta unalishwa msosi adi unasinzia na unaamshwa na pande la Kofi .🥲I feel you ..Saivi ndo nakumbuka enzi tukiwa wadogo mama akiwaekea chakula mkashindwa kumaliza mnapanga mstari mnafungua mdomo mnalishwa kilazima [emoji28]nilikua nachukia ila nimekua sasa namuelewa na naishi na hio mentality.
Ukiona mwanaume kafanikiwa basi ni akili yakeweUlishawahi kutoka na mwanamke wa mjini sister du fulani out? Akiletewa menu anaagiza nusu kuku na chips alafu anakula kiupaja kimoja na vichips kadhaa anajifuta na tishu kwa mikogo vingereza vingi alafu anakwambia ameshiba! 🤔
Wanaume tumeumbwa mateso hadi kwenye ndoa yanatukuta haya. Leo naongelea wanawake walioolewa au wanaoshi na wanaume kama familia, kwanini wengi wao wana tabia hii? KUTUPA CHAKULA!!! 😭
Nikijitolea mfano mimi binafsi nimetoka familia masikini, Mungu kanijaalia nna kipato cha kubadilisha mboga kwa sasa. Kwakuwa chanzo kikuu cha mapato ni mshahara basi huamua kununua vyakula vya jumla kila mwisho wa mwezi mf. mchele,unga, mboga kama maharage, dagaa, samaki, nyama ya ng'ombe, kuku n.k yani kiufupi mwisho wa mwezi friji inakuwa top kwa mazagazaga na huwa tunapanga kabisa na mke wangu anunue vitu kiasi gani lakini matumizi ya vitu hivi yanakuwa ya hovyo sana hadi kupelekea kitu fulani kuisha mapema kabla ya muda mliojiwekea. Na hata ukimuuliza kuhusu pesa ya matumizi uliyompa tofauti na ya manunuzi ya vitu hivyo utaambulia patupu.
Kuna jambo wanawake hawawezi kubajeti kabisa hasa kipimo cha chakula. Unakuta mchana wanapika ugali mkubwa hadi jioni unatoka kazini unakuta hotpot limejaa ugali na mboga kibao zimebaki wote wameshakula na mimi huwa sili nyumbani mchana siku za kazi. Usiku pia wanapika wali kibao unabaki, asubuhi hauliwi wote sababu kuna mkate au mwanamke kajisikia kupika tambi au chapati, mchana unakuta sufuria limelowekwa na mpunga kibao mwisho wa siku wanapewa kuku wale....
Nimeongea kwa ujumla wanawake maana hiki ni kilio cha wanaume wengi tunaofatilia mambo ya jikoni. Siwafichi mimi huwa nafatilia mambo ya jikoni.
Nna rafiki zangu wengi, ndugu zangu na jamaa wanaoishi maisha ya shida sana, mfano jana nilipigiwa simu na rafiki yangu ananiambia hadi muda huo (saa 2 usiku) hajajua watoto watakula nini akaniomba nimsaidie kumtumia buku mbili tu japo anunue mkate. Si kwamba napesa nyingi lakini najua uhalisia wa anachoniambia sababu haya maisha nimeyaishi nilipambana nikamtumia hela ya kula siku hiyo.
Nikirudi kwa mke wangu mimi hajali kabisa unaweza kushangaa baada ya siku 15 tu anakwambia mchele karibia unaisha, namuuliza mmetumia mchele kilo 30 kwa siku 15?! Jibu lake rahisi anajibu 'unadhani mimi naumwaga, si watoto wako wanakula!' Mwanamke mwenyewe katoka familia hizi hizi kama zetu sijui kwanini hana uchungu!
Lakini si wote kuna wanawake wanajua kubajet aiseee... Kama shemeji yangu mama Alice nakumbuka wakati huo tunaishi nae nyumba moja na mume wake(rafiki yangu). Huyu mwanamke hatumii kwasababu vipo tu, nisiseme mengi.
Kama kusema nilishasema sana sasa hivi naumia tu maana ukizidi kuongea hawachelewi, utasikia "We mwanaume una gubu kweli, mambo ya jikoni yana kuhusu nini?"
Ah! Basi bana, namwachia Mungu Uluo
Sijui umesoma nilichoandika ama umeishia kusoma kichwa cha habari tu? Kama hukuelewa, sikuwa na maana ya wanawake wote hawana huruma bali wale wenye tabia hizo nilizozitaja.Umshazaliwa, ukanyonya ukatunzwa km maskini sasa leo umekua na ndevu unaona wanawake hawana Huruma??hana huruma kwakuwa tu haendani na mawazo yako siyo?
nikisema ulikuwa unastahili kunyofolewa hiyo mimba nitakosea? yaani ulikuja bahati mbaya tu humu Duniani!