smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Km ni ivo inakubidi wewe ubebe msalaba! ujue kuwa Binadamu hatufanani kabisaaa! unaweza kuta wewe unanuka mdomo, kikwapa huogi ukatakata lkn mbona anakuvumilia??Sijui umesoma nilichoandika ama umeishia kusoma kichwa cha habari tu? Kama hukuelewa, sikuwa na maana ya wanawake wote hawana huruma bali wale wenye tabia hizo nilizozitaja.
Kuna mijanaume inakoroma mpaka inaota inakunya kitandani ni hatare! sisemi kwamba unakoroma lkn mbona hao me wana vumiliwa?...jifunze kubeba Mapungufu ya wenzio!!
Ok! mwanao akifanya ivo aliko olewa akarudishwa kwako utafurahi weye?...usipende kushikia kidedea mapungufu rahisi km hayo ya mwenzio! Beba msalaba wako! ndo maana tumeweka kipindi cha uchumba
!
mchunguzaneeee mpaka kunako papuchi, Kama ulikurupuka linatuhusu nini sisi wana JF! Rudi huko kawaombe msamaha na uonyeshe ulivo andika kabla ya kuomba huo msamaha!! unasikiaaaa!!
Yeye ni yeye na wewe ni wewe tatizo lako unataka yeye awe wewe!