Kwanini wanawake hamna huruma?

Kwanini wanawake hamna huruma?

Sijui umesoma nilichoandika ama umeishia kusoma kichwa cha habari tu? Kama hukuelewa, sikuwa na maana ya wanawake wote hawana huruma bali wale wenye tabia hizo nilizozitaja.
Km ni ivo inakubidi wewe ubebe msalaba! ujue kuwa Binadamu hatufanani kabisaaa! unaweza kuta wewe unanuka mdomo, kikwapa huogi ukatakata lkn mbona anakuvumilia??

Kuna mijanaume inakoroma mpaka inaota inakunya kitandani ni hatare! sisemi kwamba unakoroma lkn mbona hao me wana vumiliwa?...jifunze kubeba Mapungufu ya wenzio!!

Ok! mwanao akifanya ivo aliko olewa akarudishwa kwako utafurahi weye?...usipende kushikia kidedea mapungufu rahisi km hayo ya mwenzio! Beba msalaba wako! ndo maana tumeweka kipindi cha uchumba
!
mchunguzaneeee mpaka kunako papuchi, Kama ulikurupuka linatuhusu nini sisi wana JF! Rudi huko kawaombe msamaha na uonyeshe ulivo andika kabla ya kuomba huo msamaha!! unasikiaaaa!!

Yeye ni yeye na wewe ni wewe tatizo lako unataka yeye awe wewe!
 
wanawake hawawezi kubajeti kabisa hasa kipimo cha chakula. Unakuta mchana wanapika ugali mkubwa hadi jioni unatoka kazini unakuta hotpot limejaa ugali na mboga kibao
Halafu hili jamaa bana si umwambie/fundisheee tatizo liko wapi??...basi mlete huku kwa kaka yangu apate kozi orozesha maatizo yako yoote! lkn unalipia!

kwanza mara nyingi wake za vijana ni wadogo! dogo ivi!...sasa km mtu ni mdogo kiumri kwa nini asipate drs la mapema mpaka uje kulia lia humu ??????
 
Kama kusema nilishasema sana sasa hivi naumia tu maana ukizidi kuongea hawachelewi,
Tatizo lako unam sema km Polisi!......fanya kwa vitendo pima msosi wasiku wewe! kwa upendo! na bashasha inaonekana huna kauli nzuri, .....kufoka foka!! kununa nuna!! biala sababu!

weekend msaide kupika chakula kitamu! msaidie kukata kitunguu! nynya izo! hata ukivaa khanga zake kiutani hujamvalia mtu mwingine kwani nani anawaona bana?? ......saana atakutania umependeza weye!!

halafu kumchekesha zaidi unapiga zile za ki jot! jot!!.......
 
Mimi Mama yangu mchaga kipindi nipogo home enzii hizoo hutupi kitu kinachohusu msosii......ugali ukibaki wa Jana unawekwa kwenye microwave mchana mnagonga kasoro mzee TU Mara nyingi hayupo mchana home

Hizi mbogaMboga hizi zikipikwa zinatengwa za kutumia mda huo the rest kwenye fridge.......baada ya hapo Ni mwendo wa microwave tuuu mamaeee!!!.......mpk Sasa nimejifunza kutupa chakula KWANGU na familia Ni mwikooo!!!!
 
Mkuu unataka kumfundisha ajue kubajeti?

Simple logic

Mwambie nimeshushwa mshahara .

Mpe pesa yeye ya mwezi mzima , umwachie abajeti yeye kuwa kauzu usije na kitu chochote nyumbani, uwe umechoka Kila ck Ila usiache kumshikisha adabu ya kitanda .

Baada ya miezi miwili tu [emoji1787] ataweka akili, akikuambia matumizi yameisha mwambie tutalala njaa

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kama una stoo hifadhi chakula humo funga na funguo, uwe unampimia kila siku asubuhi.
Michele nusu
Mafuta robo kikombe
Chumvi kijiko kimoja..n.k
Acha wenge wewe mwanamke

Una gubu aki ya nani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Atampimia mpaka kwenye mzaguzagu

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, juzi nimeagizwa kuku wa KFC,baada ya kumpelekea akala kidogo tu then akaniambia anahamu na ugali[emoji1787]
Huwajui unawajua?

Yaani akiagiza kitu lzm akizodoe weeeee

Mie wananijua akiniagiza namwambia kabisa [emoji1787]

Nikiteta mzodooo sitaki kaa ukijua ukileta zako sikuletei tena

Tena unakaa unamwangalia kwelikweli

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Baadhi Yao Huwa wanasema dah ila wewe mkorofi

Ukileta kula naye harafu wewe ule haswa

Wanawake wanaogopa kusemwa walafi, ukileta ukamwachia yeye anakula kidogo tu.

Kama unataka ale wewe lete mbili yako iwe kubwa zaidi yake kandamiza yote umwone kama ataachia kitu

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Enzi za ukuaji Nilikuwa napika chakula kingi mama anaongea sana kwa uchungu,

Nikiona nimepika kingi na mama asikione napunguza kwa kumwaga,

Nilikuwa sizimi taa zinawaka kutwa au baba azime anavyotoka,,,,nipo nje Tv ipo on na hakuna anaeangalia,,,,,,,,,,,lkn sasa tokea baba atoweke na nikajua kununua umeme[emoji16][emoji16]

Lkn sasa kila kitu napika kwa kipimo na nikijua ni kingi namfuata jirani aje agawe kabwa hakijatushinda, na bora kiwe kidogo asiyeshiba ashushie na maji,

Sasa nilivyojua uchungu wa pesa aisee nakuwa mkali hasa kwenye uharibifu wa chakula,,,,,,,,,,,home tupo watatu juzi nimesonga ugali usiku na mboga tamu ugali ulikuwa kidogo tu maana nilijua ugali usiku haupandi,,,,,,tulikula na ukawa mdogo maza akawaka kwanini napika ugali kama unga wa kununua[emoji23][emoji23]

"TUHESHIMUNIi VYAKULA"

"maana kuna wale waliokulia vijijini wanajua kuwa kupika wali mwingi na kuumwaga ndiyo kayapatia maisha,"


SIPENDI MTU ANAEMWAGA/KUCHEZEA CHAKULA, KUNA WATU WATU MITAANI WANATESEKA NA NJAA,
Aisee naomba nikuchumbie

Nikuowe kabisa

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom