Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

ndio maana nimekuambia mpe muda, huwezi oa mwanamke uliyemjua kwa siku 2 au tatu,,,jaribu kukaa miaka 2 to mitatu.

No hurry to this issues when it comes to your personal life.
Yes it's nice!
Lakini miaka miwili una muoa na kichanga cha mwanaume mwingine, surely %
 
Safi sana kuna mwaka mmoja liingia mahala nikanywa supu ya 8000 nikajikuta machozi yanatoka watu wakadhani nimezidisha pilipili kumbe nilikuwa nalia naiwazia buku nane.
Hahahahah roho inauma zaidi kama ukiwaza mfukoni ulikuwa na “luteni” (Tsh.10,000) mmoja tu pekeyake!
 
Yes it's nice!
Lakini miaka miwili una muoa na kichanga cha mwanaume mwingine, surely %
hamnaaaa, kitu ni kuheshimiana tu,,,na ukiona uko na wasiwasi huo hata akiingia ndani atakuletea tu mtoto

jaribu ku date na mtu anaekuheshimu,,,, automatically atakupenda na kukujali
 
Siyo Karne hii mfumo umetawaliwa na pesa,pesa ,pesa Kila sehemu.
 
"Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.

Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo"

Kwangu hapo ndio umeonesha uanaume mzee, hongera kwa hilo.
 
Karucee ni nini mbaya Mama..?

Na huo mtongozo umeanza kuwa wa masimango,,, siutaki.
Aaaahhh nilikuwa nakuona innocent nikutongoze tongoze aisee nimeghairi kabisa nimeona ningejua sijui siku si nyingi 🤣🤣🤭🤭
 
"Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.

Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo"

Kwangu hapo ndio umeonesha uanaume mzee, hongera kwa hilo.

[emoji1683][emoji1683][emoji1683]
 
Safi sana kuna mwaka mmoja liingia mahala nikanywa supu ya 8000 nikajikuta machozi yanatoka watu wakadhani nimezidisha pilipili kumbe nilikuwa nalia naiwazia buku nane.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Aaaahhh nilikuwa nakuona innocent nikutongoze tongoze aisee nimeghairi kabisa nimeona ningejua sijui siku si nyingi 🤣🤣🤭🤭

Acha uoga we Mwanamke.

Wewe nae hata sikutaki,, kama umeweza kuelewa ile sentensi😂,, H A P A N A ndio jibu la mtongozo wako.
 
Back
Top Bottom