Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

mpokeage tu ndio uwezo wetu ulikoishia, mtu hutoa zawadi kulingana na uwezo wake
Na nyie muwe Muna pokea zawadi za big ball halafu tuvumiliane.Wanawake acheni ubinafsi,uchoyo na roho mbayaa.

Mbona wanaume wanajitoa Kwa sababu yenu? Izo iphone,Mikoba, Laptops Sio kwamba ni uwezo wao Bali ni moyo TU wa kutoa.
 
weeee, mjifunzage kutoa kulingana na uwezo wenu ili muwe na amani na furaha ya moyo,,,sisi huwa tunatoa kulingana na uwezo wetu na sio uchoyo, ubinafsi ama roho mbaya kama ulivyosema.
 
Sio uwezo bali ni ubinafsi TU ndo unawazonga.Mwanamke hata uwe na milioni kujitoa Kwa mwanaume una ona so!Halafu kuna ile mwanaume akiwa na laki 4 ni ya nyote lakini mwanamke akiwa na laki 7 ni ya kwake tu.Huo ni ubinafsi,uchoyo uliyo kubuhu
 
unatuwazia vibaya tu, unajua sisi tumeshazoea kupokea kila kila kitu so imekuwa kama desturi,,,mtuzoee tu

ila kama mnapendana hela ni za wote bhana, hao wanaosema yako yetu na yangu yangu ni wabinafsi na hawana upendo wa kweli

chezea upendo wa kweli weweeeeeeeeeee, hata hukumbuki kuwaza hilo neno yangu yangu bali yetu yetu
 
Hakuna mwanamke mwenye upendo wa kweli zaidi ya Mama mzazi.

Wengine waigizaji tu kwa sababu kuna kitu flani kakiona kwa mwanaume.

#OVA#
 
sio kweli jaman, mbona mimi upendo wangu ni wa kweli? upendo wa mama ni kitu kingine kabisaaa nakubali lakini pia kuna wanawake wenye upendo wa kweli kama mimi
 
Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show.

Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini 150,000 aseh mpk nmepatwa na stroke ya ghafla. Nikajiuliza huyu anajua mfukon niko na shingp!!!!

Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.

Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo
Wazoefu kama mimi huwa tuna hotel zetu za kula mbususu yani unampeleka wewe unapoona kuna utulivu,sio yeye akupangie umpeleke wapi...madem sample hizo ni wale malimbukeni
 
unatuwazia vibaya tu, unajua sisi tumeshazoea kupokea kila kila kitu so imekuwa kama desturi,,,mtuzoee tu

ila kama mnapendana hela ni za wote bhana, hao wanaosema yako yetu na yangu yangu ni wabinafsi na hawana upendo wa kweli

chezea upendo wa kweli weweeeeeeeeeee, hata hukumbuki kuwaza hilo neno yangu yangu bali yetu yetu
Kuhusu kopokea tunalijua hilo ndo maana sisi tuna wapa mkitakacho au tulicho nacho kiwe kidogo au kikubwa inshu ninayo zungumzia mimi ni kuhusu nyie kujitoa kwa wanaume wenu huwa hamna hiyo desturi licha ya kikubwa ambacho Mungu kawa bariki ndo hapo unakuta zawadi mnazo toa Kwa wanaume ZENU ni leso,socks,pen na ki notebook vitu ambavyo ni kama uchoyo tu na ubinafsi na roho mbayaa ZENU.

Ndo maana nikakwambia na nyie tukiwapa zawadi za big ball na Ice cream msiwe mnaleta dharau mpokee kama sisi TUNAVYO pokea hizo pen na Leso zenu
 
nimekuelewa sana tu, asante tutalifanyia kazi

ila big boom na ice cream pia ni zawadi na tunazipenda
 
sio kweli jaman, mbona mimi upendo wangu ni wa kweli? upendo wa mama ni kitu kingine kabisaaa nakubali lakini pia kuna wanawake wenye upendo wa kweli kama mimi
Mwanamke ana penda vitu kutoka Kwa mwanaume,

Na mwanaume ana penda wanawake.Hiyo ni NATURE.

Mwanamke hawezi kuwa na mapenzi ya kweli Kwa mwanaume bila sababu ya vitu alivyo navyo mwanaume,Mwenye huo upendo ni Mama mzazi pekee.

Ukitaka kujua Hilo mwanaume ajifanye kuwa na MATATIZO makubwaa saana either kufilisika,madeni makubwaa,Magonjwa makubwaa,hata ulemavu.Hapo ndo utajua rangi halisi ya mwanamke kama ana mapenzi ya dhati au maigizo tu.
 
nimekuelewa sana tu, asante tutalifanyia kazi

ila big boom na ice cream pia ni zawadi na tunazipenda
Ice cream na big boom ni zawadi ndiyo lakini munavyo jichukulia kwenye mind zenu Ice cream na big boom ni zawadi ambazo siyo hadhi yenu na kuanza kuzani mwanaume kakuchukulia wewe ni mtoto ndo maana kakupa zawadi izo,Bila hata ya kushukuru Kwa big boom uliyo pewa kama zawadi,dharau ndo kwanza Zina anzia hapo Kwa vile umemshusha thamani.Thamani yake hawezi kuwa ya pop corn au ice cream Wala big boom.
 
sio kweli jaman, mbona mimi upendo wangu ni wa kweli? upendo wa mama ni kitu kingine kabisaaa nakubali lakini pia kuna wanawake wenye upendo wa kweli kama mimi
Kama una amini wewe una upendo wa dhati Kwa mwanaume uliye nae.

Embu fikiria Kwa mafano, mwanaume wako kafukuzwa kazi yupo TU nyumbani,
Mwanaume wako kafirisika Yani Hana direction ya kuinuka Tena,
Mwanaume wako kapata ajari yeye ni WA kuhudumiwa muda wote
Mwanaume wako ana madeni makubwaa kiasi Kwamba mnataka kuuziwa Nyumba mnayoishi na hamjui pa kuanzia,
Mwanamke wako KAFUNGWA karibia maika 10+

Vipii hayo mapenzi yako ya dhati yatazidi kuwepo Kwa huyo mwanaume wako?
 
yote nitavumilia ila hili hapa "Mwanaume wako ana madeni makubwaa kiasi Kwamba mnataka kuuziwa Nyumba mnayoishi na hamjui pa kuanzia" lazima nijue chanzo chake otherwise upendo kwishne kabisaaaaa

vp upande wako utaweza? yaani kwa mwanamke wako utaweza yote hayo?

mimi kwenye mambo ya madeni halafu sijui zilikoenda kwa wkeli tutasameheana tu.
 
Madeni yameenda kwenye uwekezaji,uwekezaji umebuma na wewe unakuwa unalijua hilo vizuri na umeliona kabisa[emoji13].

Hapo ndo kipimo chako Cha mapenzi Kwa mwanaume wako ndipo kinapo anzia.Wakati wa shida kubwa
 
Sisi wanaume KUVUMILia ndo jadi yetu ndo maana unakuta mwanamke Yumo ndani hata miaka 12 tuna muhudumia TU kiroho safi,Ukifukizwa kazini tunahudumia TU una Baki kuwa mama wa nyumbani au kukutafutia nafasi sehemu nyingine,Ukipata ajari ukapata ulemavu tunahudumia TU mpaka kifo kitakapo tutenganisha.

Ndo hata Mungu wanasema jinsia yake ni mwanaume,Kwa sababu matendo ya Mungu Yana fanana Sana na Wanaume wote duniani.
 
nikiwa najua wala hainipi shida, tutavumiliana

kimbembe niwe sijui,,,naona ndoa ikipumulia ICU
 
Sisi wanaume KUVUMILia ndo jadi yetu ndo maana unakuta mwanamke Yumo ndani hata miaka 12 tuna muhudumia TU kiroho safi,Ukifukizwa kazini tunahudumia TU una Baki kuwa mama wa nyumbani au kukutafutia nafasi sehemu nyingine,Ukipata ajari ukapata ulemavu tunahudumia TU mpaka kifo kitakapo tutenganisha.

Ndo hata Mungu wanasema jinsia yake ni mwanaume,Kwa sababu matendo ya Mungu Yana fanana Sana na Wanaume wote duniani.
weeeee, acha hizo mambo weweeeee

yaani tatizo lenu kubwa mnahisi wanawake walioko majumbani hawafanyi kazi...laiti mngelibadilishana hata kwa siku moja ndio ungejua moto huzimwa na maji na wala sio dawa ya moto ni moto

hakuna kiumbe kina uvumilivu kama mwanamke...believe me or not itabaki kuwa hivyo.
 
Wapumbavu sana hawa viumbe unampeleka bar ana agiza Haynes wakati wewe unakunywa Serengeti lite
 
Back
Top Bottom