Yes it's nice!ndio maana nimekuambia mpe muda, huwezi oa mwanamke uliyemjua kwa siku 2 au tatu,,,jaribu kukaa miaka 2 to mitatu.
No hurry to this issues when it comes to your personal life.
Mambo ya ruff road150 hotel, bado posho yake....halafu ukute anakupa mambo meusi, bora tu umeamsha bana.
Hahahahah roho inauma zaidi kama ukiwaza mfukoni ulikuwa na “luteni” (Tsh.10,000) mmoja tu pekeyake!Safi sana kuna mwaka mmoja liingia mahala nikanywa supu ya 8000 nikajikuta machozi yanatoka watu wakadhani nimezidisha pilipili kumbe nilikuwa nalia naiwazia buku nane.
hamnaaaa, kitu ni kuheshimiana tu,,,na ukiona uko na wasiwasi huo hata akiingia ndani atakuletea tu mtotoYes it's nice!
Lakini miaka miwili una muoa na kichanga cha mwanaume mwingine, surely %
Siyo Karne hii mfumo umetawaliwa na pesa,pesa ,pesa Kila sehemu.hamnaaaa, kitu ni kuheshimiana tu,,,na ukiona uko na wasiwasi huo hata akiingia ndani atakuletea tu mtoto
jaribu ku date na mtu anaekuheshimu,,,, automatically atakupenda na kukujali
Aaaahhh nilikuwa nakuona innocent nikutongoze tongoze aisee nimeghairi kabisa nimeona ningejua sijui siku si nyingi 🤣🤣🤭🤭
"Nikajaribu kumshawishi tuhamie lodge mbon nmeona sehemu nzuri zaid bei ya kawaida ili tuepushe matumizi yasiyokuw na lazima dem kagoma kabisa kuhama pale.
Nikaona isiwe kesi nikainuka kmya kmy nakusepa katuma msg kibao kauli yangu ile ile tubadilishe eneo tuepushe gharama bado kagoma nimeamua kusepa na kupotezea mzigo"
Kwangu hapo ndio umeonesha uanaume mzee, hongera kwa hilo.
naona karoho kanavyokuuma
Hongera mkuu..nmekupandisha nyota mbili....haiwezkani ajichagulie uwanja wakt ww ndo mchezaji
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Safi sana kuna mwaka mmoja liingia mahala nikanywa supu ya 8000 nikajikuta machozi yanatoka watu wakadhani nimezidisha pilipili kumbe nilikuwa nalia naiwazia buku nane.
Aaaahhh nilikuwa nakuona innocent nikutongoze tongoze aisee nimeghairi kabisa nimeona ningejua sijui siku si nyingi 🤣🤣🤭🤭