Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?

Binafs sio muumini wa mwanamke mwnyw aibu, napenda anaejiachia[emoji1]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa mwanamke anayemaliza mzinga wa K vant peke yake, aibu ataitolea wapi, lazima ajiachie.

Mimi binafsi napenda mwanamke mwenye aibu kidogo hata kama ananiigizia lakini hufanya nijiamini.
Hasa kwa desturi zetu za Africa
 
Ha ha ha.....Trust me
Mwanamke asiyekunywa pombe havutii mkuu, pombe inaondoa aibu, inaongeza nyege na kuleta uchangamfu flan hivi ukiwa nae, vile vituko vyake hata uboeki[emoji39]

Back
Top Bottom