Private amna kitu mle. Njoo kwa mkulungwa uite maji mmmaAhahahaha sitaki cdf namtaka private alie ajiriwa jana
Itakuwa kwa velvet afrikasanaTukeshe wapi sasa?
Ahahaha uyo mtam anakuwa teketeke anakula kwa uwogaPrivate amna kitu mle. Njoo kwa mkulungwa uite maji mmma
Pale pametulia mkulungwaItakuwa kwa velvet afrikasana
Vipi uliibuka last night? πPale pametulia mkulungwa
Naona una anzisha nyuzi Kwa Kasi sanaa brother angu Tupo pamoja sanaaKaribuni sana mnielimishe juu ya hili.
Wanaweke wapi hao unawaongelea. Mbona hawazivai kabisaKaribuni sana mnielimishe juu ya hili.
Wanyama hotel.....NDIO MIKUMI HOTELHuyo mpeleke Wanyama Hotel. Kuna maombi ya kuvunja roho ya kukataa kataa πππ
Iko mbele ya La Chaz tu hapoWanyama hotel.....NDIO MIKUMI HOTEL
Mkulungwa01 unaitwa huku...Pale pametulia mkulungwa
Hutaki mambo ya kiroho jamaniπππππ sitaki hayo mamboo
Wewe unachochea tena? Nilikuwa nakutala wewe nime ghail πππHahahahahah eeh lazma uwe na wese la mzeituni ili kuvunja roho chafu za giza. Ila sharti awe na suti ya edeni
πππ siyo kwa mambo hayoHutaki mambo ya kiroho jamaniπ
Sasa una ghaili mambo matamu tena? πWewe unachochea tena? Nilikuwa nakutala wewe nime ghail πππ