Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?
Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara
Wampe au wapeane utamu na mzee BabaWanachoka, kazi za nyumbani inabidi wadamke mapema, bado wampe utamu mzee baba....
imeandikwa: usimuamshe alie lalaWaamshe mkuu .. itasaidia
niceWengi wanadamka asubuhi sana kuwahi bidhaa za jumla. Na biashara wanafunga usiku bado majukumu ya nyumbani muda wa kupumzika mchache sana hivyo wanafidia wakiwa kwenye biashara zao
kutoa utamu nakokunachosha?Wanachoka, kazi za nyumbani inabidi wadamke mapema, bado wampe utamu mzee baba....
pia simple research ni kwamba wengi wanao lala ni wale ambao biashara wamefunguliwa na sio zenye mitaji yao moja kwa moja.miili ya wanawake haiitaji hii misuko suko ya kusaka $$$,£ &¥ ndio maana wanachoka na kulala hovyo maofisini wao wanatakiwa kukaa nyumbani na watoto wakisubiria kupigwa mashine mzee akirudi
kwanza mara nyingi wao kazi yao ni kuachia engo tu. Kazi kubwa twafanya sie.Wampe au wapeane utamu na mzee Baba