Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara

Credit to 6Was9

Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara
 
Vipi kama tukachukulia kulala ni kupumzika unadhani hili swali lingeleta maana?

Umewahi kua nje saa tano au sita usiku unapishana na mama kajitwisha masufuria mkono wa kushoto kamshikilia mkono mtoto wa miaka 4 au 5 wanawahi nyumbani?

Horseshit
 
miili ya wanawake haiitaji hii misuko suko ya kusaka $$$,£ &¥ ndio maana wanachoka na kulala hovyo maofisini wao wanatakiwa kukaa nyumbani na watoto wakisubiria kupigwa mashine mzee akirudi
 
Wengi wanadamka asubuhi sana kuwahi bidhaa za jumla. Na biashara wanafunga usiku bado majukumu ya nyumbani muda wa kupumzika mchache sana hivyo wanafidia wakiwa kwenye biashara zao
nice
 
miili ya wanawake haiitaji hii misuko suko ya kusaka $$$,£ &¥ ndio maana wanachoka na kulala hovyo maofisini wao wanatakiwa kukaa nyumbani na watoto wakisubiria kupigwa mashine mzee akirudi
pia simple research ni kwamba wengi wanao lala ni wale ambao biashara wamefunguliwa na sio zenye mitaji yao moja kwa moja.
 
Wanawake wanaishi kwa hisia, hisia zinavurugika ukosa usawaziko hivyo upelekea uchovu wa akili, masumbuko ya nafsi, kuvamiwa na mapepo, nk. Stress za kukabiliana na changamoto za maisha uleta uchovu wa akili ambapo upelekea mtu kusinzia
 
Back
Top Bottom