Kwanini Wanawake Hupenda rangi ya Pink,Na Wanaume rangi ya BLUE

Kwanini Wanawake Hupenda rangi ya Pink,Na Wanaume rangi ya BLUE

Anti-Hacker

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
803
Reaction score
1,233
Habari RAIA wema wa nchi yetu..amabao japo yakua maisha yanazidi kua magumu lakini bado mnapambana na kumwamini rais wetu pamoja na jopo lake lote LA uongozi...........
Niludi kwenye mada Leo nataka tujadili haswa kwa wote wanaofaham nini Chanzo au Sababu iliyopo ya Wanaume(Wavulana) Wengi kupenda rangi ya BLUE👤 na Wanawake(Wasichana) wengine Kupenda rangi ya PINK
Angalizo simaanishi wanawake Wote au Wanaume wote..so kama wewe haupo katika hayo makundi isiwe sababu ya kucomment Povu....
Over
 
Anza wewe kesho piga suruali ya pink na shati ya Maya😂😂😂😂...
Kitaa kizima kitajua...watasema nishaanza kuchizi...maana marang hayo yanachoma macho kichiz...but kwann
 
But wanawake hupenda sana RED na pink na Wanaume ni black na BLUE...hebu angalia hata jeans zetu Wanaume nying zpo katka langu gani...na kwann iwe hivyo
Katika hii dunia since the early times of human civilization kuna vitu ni femenine na vingine ni masculine.

Sio rangi tu, hata division of labour, social, political and economic expectations. Vyote hivi vina variations kubwa kati ya mwanaume na mwanamke.


Nadhani haya mambo yameanzia huko miaka ya nyuma sana. Lakini kwa sasa dunia inabadilika na watu wanataka usawa. Wanataka 50/50 na hivyo wanaume wengine wameamua ku support.


Usishangae ukakutana na mwanaume amevaa suruali ya pink na shati la njano na chupi nyekundu.
 
UMWELT meaning environment or surroundings is the biological foundations that lie at the very epicenter of the study of both communication and signification in the human (and non-human) animal. The term is usually translated as "self-centered world".
Ukilea mtoto ukamwambia Red ni Kijani (salama) na Green ni Nyekundu (hatari) basi mtoto atakuwa maisha yake yote akijua hivyo!. Haya endelea na kizungu tena!.
The umwelt theory states that the mind and the world are inseparable, because it is the mind that interprets the world for the organism. Consequently, the umwelten of different organisms differ, which follows from the individuality and uniqueness of the history of every single organism. When two umwelten interact, this creates a semiosphere.
Kifupi tu, huo ni mtizamo tuliozaliwa na kulelewa nao kwamba rangi za kupendeza ni za kike na strong color ni za kiume!. Tunapokuwa pamoja ndio hiyo tofauti unaiona!.
Sorry kukujibu kidarasa chit-chat.🙂
 
Mbona siku hizi kuna ma form six ya Pink ya kiume?? manga za kiume rangi ya Pink zipo tuu...
 
Haya ndo mambo ambayo napingana nayo! Hii tabia ya kukaririshwa pasipo kusababu ndo yanatuondolea utu wetu!
 
Wewe mleta mada kama sio PUNGA basi AUNT... usilete mada za kiwaki za kugeneralize vitu vya kiwaki..
 
Back
Top Bottom