Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Haha siku hizi na suti zipo.. unapiga koti la Pink na suruali nyeusi chini kabisa moka nyeusi... suruali iwe mnyonyo...Siwezi fanya huo upang'ang'a. Yaani unakuwa kama wale wadada wa promo za BIKO.