Kwanini Wanawake Hupenda rangi ya Pink,Na Wanaume rangi ya BLUE

Wazungu wametuelekeza,,tena bora mwanamke avae blue kuliko mkaka kuvaa pink. Niliwahi kukutana na mkaka anasimu ya pink,,nilijiskia vibaya sana
Yaani hata jamiiforums.com twitter.com facebook.com Zote ni blue...kwanini
Mimi nataka sababu strong
 
Habari RAIA wema wa nchi yetu..amabao japo yakua maisha yanazidi kua magumu lakini bado mnapambana na kumwamini rais wetu pamoja na jopo lake lote LA uongozi...........
Niludi kwenye mada Leo nataka tujadili haswa kwa wote wanaofaham nini Chanzo au Sababu iliyopo ya Wanaume(Wavulana) Wengi kupenda rangi ya BLUE[emoji185] na Wanawake(Wasichana) wengine Kupenda rangi ya PINK
Angalizo simaanishi wanawake Wote au Wanaume wote..so kama wewe haupo katika hayo makundi isiwe sababu ya kucomment Povu....
Over
Habari zetu nzuri@Anti-Hacker
Kwa mtazamo wangu wanawake wanapendeza au wanapendelea rangi ya pink sababu ya kung'aa sana

Tofauti na wanaume wao hupendelea na hupendeza wakivaa nguo zeñye rangi tulivu,zisizo na mng'ao kama blue,light blue.

Mi binafsi napenda sana rangi ya pink,Orange na white,zawadi pia napenda sana za rangi hizo red naipenda kiasi.
hata vyombo,napenda kununua rangi ya pink,nikiiona rangi ya pink roho yangu kwatu.
 
Kidogo eniconvince...
But bado kwanini na jamii forums walichagua rangi yao iwe blue...
 
Habari RAIA wema wa nchi yetu..amabao japo yakua maisha yanazidi kua magumu lakini bado mnapambana na kumwamini rais wetu pamoja na jopo lake lote LA uongozi...........
Niludi kwenye mada Leo nataka tujadili haswa kwa wote wanaofaham nini Chanzo au Sababu iliyopo ya Wanaume(Wavulana) Wengi kupenda rangi ya BLUE[emoji185] na Wanawake(Wasichana) wengine Kupenda rangi ya PINK
Angalizo simaanishi wanawake Wote au Wanaume wote..so kama wewe haupo katika hayo makundi isiwe sababu ya kucomment Povu....
Over
Sio kwamba wanaume wengi wanapenda black?
 
Ukitaka wanawake wakuchezea vaa Pink, ila ukitaka wa kuoa vaa blue.

Unajua kwanin!? Ipo hivi rangi ya Pink inanfuvu ya kushawishi msichana ndio maana bidhaa nyingi za wadada ni za pink na si kwamba ni rangi ya wadada ila hapana ni swala la saikolojia tu. Pink inafanya mtu aone upendo, utoto, ukaribu na uchangamfu

Ukiona mwanaume kavaa blue jua anapenda majukumu sana au labda hajiamini somehow au anaamini yeye ni imara. Chunguza wengi utakuta 25+

Ila watu hatari ni wale wanaovaa rangi ya kijivu. Ukikuta mtu anapenda rangi ya kijivu muache kama alivyo tu hutaweza kaa nae kama wewe ni mpenda pink au blue.
 
Back
Top Bottom