Kwanini Wanawake Hupenda rangi ya Pink,Na Wanaume rangi ya BLUE

Yaani hata jamiiforums.com twitter.com facebook.com Zote ni blue...kwanini
Mimi nataka sababu strong

Blue ni rangi inayofanya mtumiaji wa kitu ajihisi safe. Ndio maana ukiwnda bank, polisi au law firm na kwenye mihuri pia utaikuta sana hii rangi.

Nadhani ndio maana nao wanaitumia. Hivi siku ukikutana na mhuri wa rangi ya pink utahusi vp mkuu?, kama vile si mhuri serious ee!!?

Au imagine wino wa mhuri ni mweusi, utahisi mbona huu mhuri wakibabe sana? au mhuri mwekundu lazima utikisike moyo na akili
 
Kidogo nimependa sababu zako
 
Nina shati langu la pink la mikono milefu linakubali pasi kama nini nikipiga na suruali yangu nyeusi na kiatu cheusi bonge moja la mtoko wa ajabu , wewe kama ni mwanaume unashindwa kuvaa nguo unaangalia rangi wewe ni boya kabisa.
 
Sijasema anashindwa but BLUE ndo rangi pendwa kwa wanaume
 
My favourite colour
1/ BLACK
2/BLACK
3/BLACK
4/BLUE
5/WHITE
6/BLACK
7/BLAAAAAAAAAAAAAAACK
 
Certain places you wear certain colors you dead.

Painted the car blue, that's for the sweat and blood
In my red tennis shoes fool cause the pain is love
I'm bout my green (Green) So my sky's blue (Blue)
Purple and the strawberry philly up in my five coupe
Yeah I'm in the yellow boss, they in the white gold
You might fold I'm platinum go ask them white hoes
I got black hoes slammin cadillac do's.

Blue - Crips gang
Red - Luv
Green - Mpunga Mshiko Umae Umate
Yellow - Ming'ao Diamonds
Purple - Kijiti aka Mneri aka Msokoto.
 
Back
Top Bottom