Anti-Hacker
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 803
- 1,233
- Thread starter
- #41
So only attraction kwa pande nyingine...hakuna sababu nyingineUkitaka kujiongezea mvuto kwa mwanamke,,,vaa nguo mashat au tisheti za blue au nyekundu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So only attraction kwa pande nyingine...hakuna sababu nyingineUkitaka kujiongezea mvuto kwa mwanamke,,,vaa nguo mashat au tisheti za blue au nyekundu .
Yaani hata jamiiforums.com twitter.com facebook.com Zote ni blue...kwanini
Mimi nataka sababu strong
Kidogo nimependa sababu zakoBlue ni rangi inayofanya mtumiaji wa kitu ajihisi safe. Ndio maana ukiwnda bank, polisi au law firm na kwenye mihuri pia utaikuta sana hii rangi.
Nadhani ndio maana nao wanaitumia. Hivi siku ukikutana na mhuri wa rangi ya pink utahusi vp mkuu?, kama vile si mhuri serious ee!!?
Au imagine wino wa mhuri ni mweusi, utahisi mbona huu mhuri wakibabe sana? au mhuri mwekundu lazima utikisike moyo na akili
Mbona kutishana wengine sisi ni wapenzi wa grey
Kaka jina language ni La kupambana na uharifu wa mitandao...tu..haihusiani na rangi nipendayoHahah, ndio maana sitalishangaa JINA lako mkuu.
Ukitaka kujiongezea mvuto kwa mwanamke,,,vaa nguo mashat au tisheti za blue au nyekundu .
HahahaaaMwanamke hachagui rangi. Lakini mwanaume kuna rangi ukionekana nazo unaweza kudhaniwa vibaya.
Unasema kwasababu u mwanaume..so nikawaida..but kwanini iwe hivyoBlue ni rangi poa sana hasa Navy blue
Kaka jina language ni La kupambana na uharifu wa mitandao...tu..haihusiani na rangi nipendayo
Yaani usijaribu kuhack chochote...yaani nitatoa taarifa kwa Interpol, cyber,TCRA hadi kwa Invisible...!Haya mkuu, nimependa mambo uyapendayo.
Kweli Kaka !!Blue ni rangi poa sana hasa Navy blue
Yaani usijaribu kuhack chochote...yaani nitatoa taarifa kwa Interpol, cyber,TCRA hadi kwa Invisible...
Mpaka use banned katika lyf yako
Sijasema anashindwa but BLUE ndo rangi pendwa kwa wanaumeNina shati langu la pink la mikono milefu linakubali pasi kama nini nikipiga na suruali yangu nyeusi na kiatu cheusi bonge moja la mtoko wa ajabu , wewe kama ni mwanaume unashindwa kuvaa nguo unaangalia rangi wewe ni boya kabisa.
Blue ni anga,utukufu,umilele,maajabuKwanini!?
Mshana chapa nyingine ila binafsi naipenda rangi nyeusi maana unaeza ivaa popote na wakati wowote ule pia ni rangi isiyo na mambo mengi mengi na haijawahi mkataa mtu yeyote anaweza itupia na life likasongaAisee una um Mshana Jr c bure..black ndio dormant... Uchaw