sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwetu wanaume ni suala la kawaida kabisa kusaidiana pesa japo inabidi uwe na hoja ya kuweka msisitizo kwamba una shida ama utairudisha.
Kwa wanawake hali ni tofauti, wao kupeana pesa huwa ni ngumu sana, watachekeana huko lakini kwenye mambo ya fedha pana kigingi
Kwa wanawake hali ni tofauti, wao kupeana pesa huwa ni ngumu sana, watachekeana huko lakini kwenye mambo ya fedha pana kigingi