Kwanini wanawake mkishaolewa ndio mnabadilika tabia, kwanini msibadilike kipindi cha uchumbaa?

Jipe muda wa kutosha kumjua mchumba kitabia kabla ya kuoa, hiyo ndio solution mbali na hapo utawaona wote pretenders
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila cariha sijui umewaza nini na hilo jibu
Ni vile watu wakiwa wachumba huwa wanajidaganya na ku fake ili wa winiane, sasa wakioana ndani ndio huanza kuonyesha true color, Yani wanakuwa ka wanasiasa kipindi Cha kampeni wakishashinda wanasahau wananchi na kuwatesa juu. Ndio uchumba na ndoa sasa
 
YaniiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mjasili aachi asili, we lazima nikamilishe ratiba nawe! Huwezi kuwa mtam af uishi kichoyo tu
Weeee usiniambie unatengeneza mazingira ya kunitafuna🀣🀣🀣🀣

Wacha niendelee kukulwa na huyu anaenikula extro.wewe hapana nashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…