Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 789
- 2,613
Na kumbe upwiru unaonekana kwa macho bana๐คฃ๐คฃmie hapo kwenye upwiru ndoh pananizingua
Alishtukia kuwa jamaa ana mzigo mkubwa.Na kumbe upwiru unaonekana kwa macho bana๐คฃ๐คฃ
Eeeeh aisee nimekumbuka kuna demu kipindi fulani nilimchombeza kuwa namtaka akapiga chenga alafu anauza glocery kwahiyo hiyo siku nilikiwa mimi na washkaji zangu kama wawili hivi.
Na hiyo sehemu tulioenda na hao jamaa zangu kama mara nne hivi ila katika hizo mara nne siku moja ndiyo nikapata upenyo nikamchombeza hilo swala kuwa nataka nikaisugue akakwepa.
Alafu kati ya sisi kuna mwenetu mmoja akalala na demu sasa siku moja nikamchana jamaa kuwa nishamtakaga yule manzi akachomoa jamaa akacheka sana. Akasema demu aliniambia kuwa yule mwenzio ashawahi kunitaka nikamchomolea.
Ndiyo jamaa akaniambia alimuuliza sasa kwanini ulimchomolea? Demu akasema jamaa anaonekana anaupwiru sana๐ ๐ ๐ aisee na mimi nilicheka kinoma basi tukaendelea na stori na tukaacha kwenda pale ila jamaa aliendelea kumla yule manzi fresh tu.
Sasa nikajiuliza wanawake kumbe hamtaki wanaume wenye upwiru wakati mnasema mnataka shoo shoo, na kweli upwiru nilikuwa nao wa kama miezi mitatu hivi๐ .
Wanawake kweli ni balaa yani mnaweza kumtambua mwanaume mwenye upwiru?๐
Na wala sikumkazia sana nilimchombeza alafu nikakausha. Kumkazania labda ndiyo ingekuwa kigezo cha kuonesha kumtaka sana lakini sikumkazania wala nini.
Swali...... kumbe hamtaki watu wenye upwiruuuuuuu?
UtotooEeeeh aisee nimekumbuka kuna demu kipindi fulani nilimchombeza kuwa namtaka akapiga chenga alafu anauza glocery kwahiyo hiyo siku nilikiwa mimi na washkaji zangu kama wawili hivi.