Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

Alafu wanawake wote wako hivyo + michirizi kibao kama yupo mwanamke anabisha atuonyeshe yake.

Nilimsikia mlevi mmoja akisimulia.
Sindano za uzazi, vijiti na vidonge ndio kero ya Unene wa michirizi.
 
Kila mtu huzungukwa na watu wa aina yake
Hao ndo wa level Yako komaa nao
Au tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…