Kwanini wanawake na masikini ndiyo wanaoanguka mapepo makanisani na siyo matajiri na wanaume?

Kwanini wanawake na masikini ndiyo wanaoanguka mapepo makanisani na siyo matajiri na wanaume?

Matajiri hawaanguki kwa kuwa wengi hawaendi kanisani. Hivyo hawezi kuanguka kwa kuwa hayupo eneo la tukio. Wanajiona wamejitosheleza kwa kila kitu. Wana kiburi cha uzima na utajiri.
 
img_4_1659613023946.jpg
a
 
Mapepo huwavaa makapuku 😁😁😁😁
 
Hao matajiri unaowasema wengi wao ndiyo wenye mapepo yao kama vijakazi vyao sasa wataangukaje?
 
Back
Top Bottom