JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 726 Reaction score 476 Sep 2, 2022 #1 Haya maswali sijawah pata jibu, hebu nisaidiane wananzengo!
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Sep 2, 2022 #3 Matajiri hawaanguki kwa kuwa wengi hawaendi kanisani. Hivyo hawezi kuanguka kwa kuwa hayupo eneo la tukio. Wanajiona wamejitosheleza kwa kila kitu. Wana kiburi cha uzima na utajiri.
Matajiri hawaanguki kwa kuwa wengi hawaendi kanisani. Hivyo hawezi kuanguka kwa kuwa hayupo eneo la tukio. Wanajiona wamejitosheleza kwa kila kitu. Wana kiburi cha uzima na utajiri.
K kache lewa Member Joined Aug 27, 2022 Posts 27 Reaction score 23 Sep 2, 2022 #5 kaa ukijua kwamba wachungaji wengi ni wachawi, na uchawi haufanyi kazi kwa tajiri
Adlo Senior Member Joined Jul 15, 2022 Posts 197 Reaction score 240 Sep 2, 2022 #6 Mapepo huwavaa makapuku ππππ
M mbantu wa bantu Member Joined Apr 5, 2022 Posts 35 Reaction score 52 Sep 2, 2022 #7 kache lewa said: kaa ukijua kwamba wachungaji wengi ni wachawi, na uchawi haufanyi kazi kwa tajiri Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
kache lewa said: kaa ukijua kwamba wachungaji wengi ni wachawi, na uchawi haufanyi kazi kwa tajiri Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Sep 2, 2022 #8 Hao matajiri unaowasema wengi wao ndiyo wenye mapepo yao kama vijakazi vyao sasa wataangukaje?