Hahaha usidanganyike bro, kataa ndoa ipo pale pale.Duh
Ova
Ndoa changamoto sanaHahaha usidanganyike bro, kataa ndoa ipo pale pale.
Hapa nilikuwa nimekumbatiwa na mrembo, sii unajua tena mambo ya cuddling yanakuaminisha ndoa tamu
Wewe hawa wanawake tuwagegede na kuwazalisha tuu. Kuna mmoja anataka nimzalishe wacha nimpe anachotakaNdoa changamoto sana
Ndoa nyingi watu wanafunga ilimradi
Wafunge tu...show off
Wanandoa hawapendani kwa dhati
Wanaishi miezi 6 tu kila mtu anataka ashike njia yake [emoji1]
Ova
Hakika mkuu, unafki ni mwingi sanaNdoa changamoto sana
Ndoa nyingi watu wanafunga ilimradi
Wafunge tu...show off
Wanandoa hawapendani kwa dhati
Wanaishi miezi 6 tu kila mtu anataka ashike njia yake [emoji1]
Ova
Wanawake wanawaliza sana raia wa humu...πππ...Hahahah hivi hata wewe mzee wa living large unalalamikaπ!
jirani yangu hapa anasema wanaopokea maelezo na kuyatekeleza kwa utulivu ni wale wanaopata ile huduma inginee vizurii ya kuufanya mwili uwe mwepesi kabsaaHapo kwenye green anaweza kupokea maelekezo yote lakini sio ya namna ya kutumia pesa zake.
hela za vikobo huwa zatoka kwa wanaume indirect .... bakishishi ya sokoni, matumizi ya ome, saloon etc.issue siyo kutoa ni kuwa responsible, mbona kwenye vicoba mnatoa? Hizo hela zenu izna pile up tu bank au mnatumia? Sasa kwanini usitumie na familia, huo ni ubinafsi
Nimefanyaje tena ?
ππ πWanawake wanawaliza sana raia wa humu...πππ...
kila siku mada za kulia tu.
Sijui wanakwama wapi...kuna shida mahali...Wanawake wanawaliza sana raia wa humu...πππ...
kila siku mada za kulia tu.
Wanateseka sana hizi zama...pole yaoππ Hakuna siku nimeingia JF sijakutana na hizi habari. Vijana bado wanaendelea kupokea sindano za moto. Poleni sana.
Dah yaani kama ukweli kabisa , Kuna mifano naijuaMwanaume akipata Pesa anawaza Family yake ila Mwanamke akipata Pesa anawaza Sasa anaweza kuwa Single.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app