Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Okay , so tufanye hizo ni sababu za kugawana mali. Mbona ninyi masingle mother siku hizi mnaongoza kwa kuexploit watoto wa kike kwa kutorosha watoto wa watu umri wa miaka hata 12 mnawaleta mijini kwa madai mnawafunza kazi.

Hawa mabinti wanafanya kazi na kupewa majukumu nje ya uwezo wao wa kiakili na kimwili/kiumri. Mwisho wa siku mnakaa nao mnawafuja jitihada zao kwa posho ndogo ambazo mnazipa majina ya mishahara na bado mnawarusha kuwapa kwa wakati.
Na mkiona wameanza kukua kiakili yaani kufikia umri w balehe mnawafukuza kwa visingizio mbali mbali kuwa wamekuwa viburi, wanadharau, wavivu, wanatabia mbaya au ushirikina.

Je , na hawa mahousegirl kwa maudhui uliyosema hapo kuwa kupikia ,kumfulia,kumlelea watoto,kumlindia nyumba na kumfanyia usafi mwanaume ni sababu zinazokupa uhalali wa kisheria wa kugawana nae mali je na wewe hawa mahousegirl huwa unaconsider kugawana nao mali kwa majukumu ambayo wamekufanyia kwa muda wao wote uliowapotezea?

Tena mkiwapotezea muda mnawaacha solemba bila ramani watoto wa watu wanaishia mitaani humu wanaanza kuwa wadangaji au wanaenda kufanyisha kazi ambazo si sehemu ya maisha yao kuwa barmaids, kuwa wasaidizi wa mama ntilie, kufanya kazi kwenye madanguro ya ngono au kuwa wale wadada wa salooni.

WANAWAKE mnajiona wajanja sasa ila subirini very soon hizi movements zenu za kiseng* zitabackfire na hamta amini jehanamu itakayowavaa hapa Duniani. Mark my words. Very soon mtaanza kujifunza kwa gharama kubwa.
Get yourself medication you are sick AF
 
Vijana mnateseka sana na ndoa. Mnaoa vitoto bikira havina hata akili ya kuwahi kuamka vifanye usafi wa chumba mlicholala. Vinawaza tu kuchati na kwenda kula migahawani.

Tuliooa ma single mother tuna raha zetu. Kabla hujaamka utasikia,, vipi baba neema mbona leo unalala sana, au unaumwa! Maji yanapoa bafuni.

Hapo alishamaliza kudeki na kuosha vyombo, chai iko mezani na nguo ya kuvaa alishakuandalia.

Tatizo siyo mwanamke, tatizo ni aina ya mwanamke uliyemwoa. Mnaagalia wenye misambwanda mikubwa na sura laini. Kumbe kuna watu wanatunza. Akija kwako mnaanza kushindana.

Zingatia uchaguzi sahihi wa mwanamke ili uwe na amani katika ndoa.
😁😁😁😁 Dah umetuchana balaa.
Kwahiyo hapo kwa masingle si tulikubaliana mpaka tuoneshwe kaburi lkn?
 
Wasalaam wana JF

Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbali pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo.

Tabia hizi mbaya za wanawake zimesababisha mahusiano mengi yamekufa, familia nyingi zimefarakana na ndoa nyingi zimevunjika. Mambo hayo yote hayakuwahi kumuacha mwanaume salama.

Aidha, vijana wengi, kwa kutambua hilo hawataki kuoa na kampeni ni nyingi hivi sasa za kuhamasisha watu KUKATAA NDOA.

Ata mimi na subscribe kwenye mawazo sahihi kwamba ndoa ni utapeli na pengine ni ajira au chanzo cha mapato kwa wanawake wengi ambao ni wabinafsi na wachoyo.

Kwanini sasa hawa akina mama wanakua wabinafsi na wachoyo:

1. Kubwa ni umasikini na fikra za kimasikini
Mwanamke aliyetoka kwenye familia masikini anadhani mume ndiyo suluhisho la matatizo yake na familia yake. Imagine baba yake hakumudu mambo mengi, lakini akija kwako atataka wewe ufanye mambo ambayo ata baba yake hakuweza;

2. Dhana potofu kwamba mwanaume ndiye sole braid winner
Hii ni dhana iliyojengeka kutokana na nadharia potofu kwamba mwanaume ndiye anayepaswa kulisha na kutunza familia. Kimsingi, mila na tamaduni zetu hazi support hii hypothesis. Babu zetu walioa wake wengi na sehemu kubwa ya uzalishaji wa mali ulifanywa na wanawake, wao ndiyo waliokua wanalima mashamba na kutunza mifugo. Hivyo uzalishaji mali ulikua shirikishi hali kadhalika utumiaji wake

Hali kadhalika vitabu vya dini pia havitambui hili rejea .Mithali 31:10-31 ambapo mke mwema ameelezewa kwa kirefu.Pengine, hii dhana ililetwa na wakoloni kutubabaisha na kutuondolea misingi yetu thabiti ya familia, kwani huko kwao mwendo ni 50/50.

3. Ushawishi hasi kutoka kwenye makundi potofu
Wanawake wengi hawana akili independent, wanategemea mawazo kutoka kwa wenzao. Ni ukweli usiopingika kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, sasa utakuta sehemu kubwa ya maisha ya wanawake yanaendeshwa kwa kutumia akili za wenzake. Fanya hivi fanya vile, bila kuchunguza madhara ya yale afanyayo. Hivyo basi, pesa za wanawake zinaingia kwenye VICOBA na mchango wao katika familia unakua mdogo huku akipambana kujilimbikizia mali pasipo mwenzi wake kujua au kushirikishwa.

4. Kutokua na mapenzi ya dhati na familia
Wanawake wengi siyo wa kweli (honest) wako kwenye mahusiano kwa sababu zingine na si mapenzi. Mwanamke anaweza kuolewa ata na shetani kwa sababu anaona umri wake wa kuolewa utapita, in short ni opportunists. Kuishi na mtu asiye kupenda ni changamoto kubwa sana, hakuna rangi utaacha ona. Kwa sababu hiyo basi, ushiriki wa wanawake kwenye kujenga hizo familia unakua ni mdogo, kwasababu hawajapenda, hutakaa uone mchango wao kwenye ujenzi wa hiyo familia na mwisho wake familia inasambaratika.

5. Unafiki
Wanawake kiasili ni wanafki, na wataonesha uzuri kwa nje ila ndani ni mbwa mwitu. Siku zote wanawake wana nia ovu, kaa nao kwa magutu sana. Akipata opportune moment umekwisha.

6. Tamaa na ubabaikaji
Wanawake hawako stable, wana tamaa japo anaweza kuzi suppress, ila tamaa ndiyo asili yao.wanawake wanataka vitu vyote vizuri viwe vyao, ukiwa maarufu na successful utawatembezea vitombo mpaka ukinai. Pia ukiwa na muonekano mzuri nayo ni shida. So mwanaume unapaswa at least uwe stable financially ili uwe salama

7. Malezi mabaya
Wanawake wengi wamelelewa kipuuzi, hii pengine ni kutokana na mapokeo ya dini au tabia mbaya za wazazi. Kwamba aende tu kwa mume, mume ndiye atakaye muhudumia. Yaani hapa wazazi wanakusukumia zigo lao. Hii si sawa, hakuna mtu ambaye anatakiwa awe responsible na maisha ya mtu mwingine, lazima watu wafanye kazi, wazalishe na kuchangia kwenye ujenzi wa familia. Hizo myth kwamba mwanume ni sole bread winner are long gone. Kama wanawake hawatajiongeza kwenye hili, hakuna mvulana atakayeoa, mark my words

HITIMISHO

UBINAFSI NA UCHOYO SIYO TABIA NJEMA

HAKUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUISHI NA KUDUMU NA MWANAMKE MCHOYO NA MBINAFSI

MAHUSIANO SIYO CHANZO CHA MAPATO

KILA MTU MZIMA ANA WAJIBU WA KUFANYA KAZI NA KUJIPATIA KIPATO CHAKE HALALI

UJENZI WA FAMILIA SIYO JUKUMU LA BABA PEKE YAKE, BALI NI WANAFAMILIA WOTE

MKIENDELEA KUWA WACHOYO NA WA BINAFSI, NDOA MTAZISIKIA NCHI JIRANI
Hii kubwa Sana bro nimeikubali
 
Back
Top Bottom