Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Mmmmmmhmn wewe basi utakuwa haujatembea na hauna exposure. Yaani kama haujui vitu ni vema ukauliza au ukaomba kuelimishwa.We Acha tu
Hakuna society yoyote ambayo kiasili ilimpa mwanamke jukumu la kutafuta mali...ni pale tu mwanaume alipokengeuka na kujisahau ndipo mwanamke akaona hakuna jinsi akapambame shambani atafutie wanae. Ndio maana jamii zingine mwanaume aliuejisahau anaitwa na kusemwa kwanini hahudumii familia.