Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Mmmmmmhmn wewe basi utakuwa haujatembea na hauna exposure. Yaani kama haujui vitu ni vema ukauliza au ukaomba kuelimishwa.
 
ukitengeneza hii watasema mfumo dume
 
Hao waweka vibase ni misungo
Hivi mwanaume anatimiza wajibu wake....anakutunza wewe na watoto unamletea kibesi kitatoka wapii....huyo anatunzwa kama yai
We unazungumza vitu kinadharia sana. Ila hapa ni jamii forum sehemu ambapo wajuzi wapo na utaelimishwa.

Wanawake wa sasa wengi wengi wao ni hypergamous in nature kutokana na malezo wamekulia na tamaa kuwazidi nguvu. Akikutana na mwanaume mwenye pikipiki akisha kaa nae siku kadhaa ataanza tamani mwenye gari.

Akikutana na mwenye gari atatamani mwenye ndege. Kimsingi unaweza mpa mahitaji yake ya msingi na kusimamia show ila akaja kukucheat na kijana ambaye hayupo busy sababu wewe upo busy kutafuta pesa za kumpatia hayo mahitaji.
 
Ila the way unawasilisha hoja yako Ni Kama fairy tales......eti unaamshwa na vipepeo na ndege,Mara shuzi zito,Mara kahawa ya maziwa mazito,Mara DSTV....
.. Hivi ndio wanaume wetu wa siku hizi mnavyowaza?tuna safari Sana aisee
 
Wanakuwa kwenye majukumu mengine, au pengine wapo hapo hapo shambani nao wanalima na wake zao. Naona unataka kutoka kwenye msingi wa hoja ya jamaa. Amesema swala ni wanawake kuwa mashambani wakifanya kazi za uzalishaji. Sijui umeelewa?
Sijamuelewa mleta mada Wala Wewe
 
Unaongea kama hayo majukumu analazimishwa kufanya au labda ni majukumu ya mtu mwingine. Kama unaona ni kazi then acha tu usifanye.

Why wanawake mnajazwa fikra potofu kuwa hayo majukumu uliyotaja si wajibu wenu na kuyafanya au kuyatekeleza ni kumfaidisha mwanaume au ni favour kwa mwanaume?!


Tena umepigia mstari neno KUELEMEWA, Okay tufanye hayo majukumu si ya lazima, niambie majukumu ya mwanamke kwenye NDOA yaani unipe list sema haya anatakiwa kufanya mwanamke bila shuruti.

Unajua ndio maana wanaume wanasema wanawake ni wabinafsi na mnaroho za unyimi sababu katika maelezo yenu mnajichanganya.

Sasa wewe nikuulize, usipokutana na mwanaume si bado utazaa tu tena hovyo na wanaume za watu muda mwingine?!

Haya inamaana wewe ukiishi mwenyewe hautapika chakula iweje ukikaa na mwanaume useme unampikia wewe hauli hicho chakula utakachompikia au ?

Analalamikia kubeba mimba, hivi wewe mwanaume amepewa tumbo la uzazi, hivi mnadhani wanaume wangekuwa wanaweza kuzaa hata na mbuzi sijui ni wanaume wangapi wangezaa na ninyi wanawake sababu ya hizi akili zenu. Hao watoto wenyewe mnaozaa mwisho wa siku si ndio hao hao mnawang'ang'ania baadae ili waje kuwasaidia sasa hapo mnabeba ujauzito kwaajiri yetu au kwaajiri yenu binafsi?

Kama unaonq kufua ni issue acha wacha mwanaume apeleke kwa dobi au aajiri House girl aje kumsaidia hizo kazi.
 
Nionyeshe Wapi nimesema hayo majukumu si ya mwanamke?zaidi ya kusema mwanamke ana majukumu mengi na AMEELEMEWA.
 
It takes a woman and a half to have man's attitude.

Kuna vitu ukivipinga kutoka kwa mwanamke ni kupingana na asili ya mwanamke.

Muishi nasi kwa akilii repeat ishi na mwanamke kwa akili.
Mwenye akili hawezi kuishi na mwanamke,wote wanaoishi na waliofanikiwa kuishi na Wanawake hawana akili kiuhalisia.

Hamna mgunduzi hata mmoja aliwahi kuishi na mwanamke,na wagunduzi ndio watu kwenye akili.
 
Wanaumeee mnaongeaaa sanaaa jamani ni ndoaaa tuu au Kuna menginee?...inafikaa kipindi hata hatuelewi excatly mnacholalamikaaa...Hebu tumalizee tofauti zetuu basi
 
Wanaumeee mnaongeaaa sanaaa jamani ni ndoaaa tuu au Kuna menginee?...inafikaa kipindi hata hatuelewi excatly mnacholalamikaaa...Hebu tumalizee tofauti zetuu basi
Kizazi Cha malalamiko
 
Kuweni positive bana
Hii mbegu mnayoipanda madhara yake ni makubwa kuliko faida kwa vizazi vijavyo
Yaaaan inashangazaaa kidogooo...wasipojiangaliaa wanawakee watatake over shauri yaooo...Na vile wanawake wa kileoo wasivyorudi nyumaaaa
 
And hopeless indeed jaman khaaa!!!...utafikirii Kuna duniaa nyingineee watuu wataishii bwanaaa kumbee ni hii hiii...tunayoibomoaaa kwa mindset za hovyoo
 
Na wakujibuu hayaa maswali aiseeee
 
Malalamiko fc and mafurushi at the beat🤣🤣🤣🤣
 
Lazima laana imwandame
 
Hawa wanataka kutuchekecha tu hapa. Eti tuishi nao kwa akili. Kwani hizo akili sisi hatuzihitaji kufanya biashara na mambo mengine ya maendeleo?

Yaani kitendo cha kusema "ISHI NAO KWA AKILI" maana yake huo ni mtego ni sawa na kukaa chumba kimoja na Silver Back gorilla [emoji1664] kwenye chumba kimoja. Chafya tu inatosha kumtibua aamke na kushika mikono yako huku na huku kisha akutatue kama kanga chakavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…